WAKALI WA DREAM LEAGUE SOCCER

Wale wenzangu wenye Android na tunacheza game za DREAM LEAGUE SOCCER tukutane hapa tupeane maujanja
Screenshot_20180810-065428.png
 
Nimewatifua round kama zote.
Mpunga wa usajili kama wote.
Kazi kubwa ya Mpunga ni kununua magolikipa wasumbufu pindi wawapo timu pinzani kama Ter stegen,DE gea, Buffon,Casillas,Lloris, Cech na wengineo.
Nimemkusanya Donado Kiristina, Messi,Suarez,Neymar,Modrick unadhan nitashinda goli chini ya 20 per match? Jitafakari wewe Chali
Screenshot_2018-08-18-02-40-30.jpg
 
Nimewatifua round kama zote.
Mpunga wa usajili kama wote.
Kazi kubwa ya Mpunga ni kununua magolikipa wasumbufu pindi wawapo timu pinzani kama Ter stegen,DE gea, Buffon,Casillas,Lloris, Cech na wengineo.
Nimemkusanya Donado Kiristina, Messi,Suarez,Neymar,Modrick unadhan nitashinda goli chini ya 20 per match? Jitafakari wewe Chali View attachment 839645
 

Attachments

  • Screenshot_20180822-101259.png
    Screenshot_20180822-101259.png
    180.6 KB · Views: 34

Similar Discussions

Back
Top Bottom