Habari ndugu zangu,
Naomba kupewa taarifa Kwa yeyote anaefahamu kwa Dar es salaam ni wapi chuo au taasisi inayotoa elimu inayohusu masuala ya kufanya kazi melini (kwenye meli)
Taasisi...
Habari ndugu zangu,
Naomba kupewa taarifa Kwa yeyote anaefahamu kwa Dar es salaam ni wapi chuo au taasisi inayotoa elimu inayohusu masuala ya kufanya kazi melini (kwenye meli)
Taasisi...
Wapenzi wa st plus movie za kihindi najua ni wafuatiliaji wa hii movie tamu mno za Gangaa na Nehleez
GANGAA tuna wahusika kama Gangaa mwenyewe, sagar na binti yao
NEHLEEZ tuna hinduu, arjun...
Umaarufu hufanya kupendwa na wanaume wengi..hivyo si rahisi na sio utu kutembea na kila mwanaume sababu mwanamke akiwa nyota kila mwanaume atampenda,ili kuweka mambo sawa atavaa vimini kuridhisha...
Tujadili pamoja kuhusu mwenendo wa riwaya nzima.Uchambuzi uambatane na maswali mbalimbali kuhusu simulizi kadri inavyoendelea kutolewa hapa mara mbili kwa wiki.Tuenzi lugha ya kiswahili...
KOMBORA KIOTANI-1
Uwanja ulipambwa kwa tabasamu za wana nchiMagwaride kadhaa yameshapita kutoa heshma zao kwa mkuu wan chi aliyekuwa jukwaa kuu.Mavazi yaliyovaliwa hapa asilimia kubwa...
Wakuu habar za midaa...
Moja kwa moja,leo nilkua namchek dancer mmoja wa south anaitwa Zodwa Wabantu huku youtube,nafkri weng mtakua mnamjua
Sasa baada ya kumchek nikaletewa suggestion pale...
Ebhanaee ni hvi....kuna group limetengenezwa kwa jili ya washkaji wote tunaopenda mpira na kupiga story mbali mbali kuhusu soka.
Humo ndani ni ligi zote kuanzia EPL, LALIGA, BUNDASLIGA, SERIE A...
Zayn anaimba vizuri kulko Justin Bieber. Ametoa song mpya na Taylor Swift inaitwa I don't wanna live forever ina views chache sana. Kama angekua Justin Bieber views zingekua zaidi ya 200m right...
Ni filamu inayohusu fimbo ya urithi aliyokabidhiwa kijana Kanani na marehemu babu yake lakini anatokea mjomba wake mmoja mwenye tama ya pesa na kumshawishi waiuze kwa matajiri bila kujua nini...
Habari ndugu zangu,
Naona kila mtu vyuma vimekaza tunapambana na hali zetu mada hio hapo juu inajieleza kila kitu maisha bila stress ujakamilika hasa sisi tunaokaa alone tabu tupu muda mwingine...
I decided to start my own forum on tech and hoping it could make make people's life easier so plz visit
Techzic
If there's anything or suggestions plz be open.
Baada ya kuondoka ktk label ya WCB, Rich mavoko aachia nyimbo yake ya kwanza kama solo artist. Wimbo unaitwa NDEGELE umetaarisha na Abdady. sikiliza, download na kisha share kwa marafiki, Enjoy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.