Tupia jina la wimbo wowote mkali (unaokuvutia) ambao huwa siku haipiti bila kuusikiliza

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,730
10,033
Katika vitu vichache ambavyo mtu huenjoy sana katika nyakati mbalimbali kama wakati wa furaha, mapumziko,huzuni,mawazo na kadhalika; mziki umechukua nafasi kubwa sana katika maisha ya binadamu.

Tupia jina la wimbo wowote ambao siku haiwezi kupita bila kuisikia au kuisikiliza kwa namna moja au nyingine.

mimi naanza na nyimbo hii
- wimbo wa taifa
- Can't hold us —Marcklemor
 
Cant hold us wimbo mbona wa longtime sana

Mimi sasa hivi nabambika na ngoma zifuatazo,,

Bood up--Ellai mai.
In my feeling--Drake.
Let me--Zayn malik.
Tabibu--Ibra nation.
Hauzimi--Benson.
Iyo ni yakitambo kidogo nakubali ila inasound moja poa sana. Ni moja ya wimbo ulio katika list.
 
Back
Top Bottom