Wako wapi watalamu hawa wa dance?

Wako wapi watalamu hawa wa dance?

MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
5,347
Reaction score
7,618
Waziri sonyo mhina panduka Maiko liloko Enduru sekedia kofi wa Tanzania nk hebu jamani tujuzane wapo kweli kwenye game?
 
Mbona hawasikiki tena walitisha na vibao vikali kama madimango
 
Waziri sonyo mhina panduka Maiko liloko Enduru sekedia kofi wa Tanzania nk hebu jamani tujuzane wapo kweli kwenye game?
Sonyo yupo Tanga.Panduka yupo kibaha ana band,Sekedia yupo Japan wakati mwingine huwa anakuwepo hapa Dar,huyu Maiko liloko sina taarifa naye
 
Sonyo yupo Tanga.Panduka yupo kibaha ana band,Sekedia yupo Japan wakati mwingine huwa anakuwepo hapa Dar,huyu Maiko liloko sina taarifa naye
safi sana mdau lakini nimewataja wachache Sana wengine waweza nikumbusha Kama kina elisto angae nawengine kibao si unakumbuka enzi za kina makei fanta jani
 
Back
Top Bottom