WAFUASI WA MAN U TUKUTANE HAPA KIKAONI

WAFUASI WA MAN U TUKUTANE HAPA KIKAONI

Rijali jandoni

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2018
Posts
2,174
Reaction score
2,265
Nadhani mnaona timu yetu na yenu inavyofanya tuache maneno mtaani na mtandaoni kwa sasa umefika wakati wa Man u isitulete hadithi za esopo,ekaya za abuasi,karume alikataa kwenda shule

lukaku......fyeeeeka
pogba.......fyekaaa
fellaini......fyekaaa
de gea......fyekaaa
mourinho......fyekeleeeaa mbaliiii[emoji84][emoji84]

Weekend njema
 
Man u sitaki ata kuisikia jana imenichania mkeka wangu wa milioni 150,
Nilishakuja humu kuomba ushauri wa misosi ya kupiga ukiwa na hela lakini leo nimeamka na kuendelea kula Ugali kabichi kwa sababu yao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]polee sanaa nimekaa nikaonaa watu wengi wanaumia mioyo na pakufikisha hamnaa
 
gambling life ni sawa na kupitisha ngami kwenye tundu la sindano ila wengine kwao ni inawezekana
 
Nadhani mnaona timu yetu na yenu inavyofanya tuache maneno mtaani na mtandaoni kwa sasa umefika wakati wa Man u isitulete hadithi za esopo,ekaya za abuasi,karume alikataa kwenda shule

lukaku......fyeeeeka
pogba.......fyekaaa
fellaini......fyekaaa
de gea......fyekaaa
mourinho......fyekeleeeaa mbaliiii[emoji84][emoji84]

Weekend njema
Siyo sahihi sana kumuondoa fellain na lukaku cha msingi ni kumuondoa Mourinho na kumleta Jadin aje apewe project ya five years aijenge team upya
 
sasa wanachosubiria ni ninii
 
Njia ya Maureen-nyooo! kuondoka united ni pana kuliko pogba. Soon atafungashiwa virago vyake pumbavu yule.
 
Dalili za kufeli kwa kocha zinaonekana live,pogba na wenzie ni wachezaji wazuri wamethibitisha walipokuwa kombe la dunia. Halafu Zidane yupo pending anaisubiri ofa ya mashetani wekundu muda wowote tutasikia kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom