Kwa wapenzi wa Dansi-Sikiliza Wimbo mpya wa Fally Ipupa (ecolo) hakika Fally anajua

Medecin

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
7,895
21,297
Yaani ukiachana na pesa basi kitu kinachofuata kukipenda ni muziki wa dansi. Leo nimekuletea wimbo mpya kabisa wa fundi Fally Ipupa aliotoa mwaka huu 2018. Katika wimbo huu linapigwa sebene lile la miaka ya 1990 hadi 2000. Hakika kanikumbusha when dance music was typical dance. Na kama wewe ni mpenzi wa kusakata mayenu basi iangalie video yake uone burudani ya dansi.

Nikipata muda nitaleta tafsiri ya huu wimbo wote.
 
Yaani ukiachana na pesa basi kitu kinachofuata kukipenda ni muziki wa dansi. Leo nimekuletea wimbo mpya kabisa wa fundi Fally Ipupa aliotoa mwaka huu 2018. Katika wimbo huu linapigwa sebene lile la miaka ya 1990 hadi 2000. Hakika kanikumbusha when dance music was typical dance. Na kama wewe ni mpenzi wa kusakata mayenu basi itafute video yake uone.

Nikipata muda nitaleta tafsiri ya huu wimbo wote.
mbona umechelewa sana mzee hz ndo mambo za kiutu uzima..
 
Yaani ukiachana na pesa basi kitu kinachofuata kukipenda ni muziki wa dansi. Leo nimekuletea wimbo mpya kabisa wa fundi Fally Ipupa aliotoa mwaka huu 2018. Katika wimbo huu linapigwa sebene lile la miaka ya 1990 hadi 2000. Hakika kanikumbusha when dance music was typical dance. Na kama wewe ni mpenzi wa kusakata mayenu basi iangalie video yake uone burudani ya dansi.

Nikipata muda nitaleta tafsiri ya huu wimbo wote.
FereGola roho inamdunda nakumbuka kuna kipindi fulani cha Tv niliona anamdisi sana Fally,
 
Ferre gola kapoteana miaka ya hivi karibuni. Lakini pia ukiangalia styles za mziki wanazoimba utagundua Ferre anaweza zaidi rhumba na ndicho kilichomfanya Werrason akamkubali mwaka 1996 wakati Ferre anajiunga na kundi la Wenge Maison Merre. Ukisikiliza wimbo kama Vita imana na 100 Kilos utagundua kipaji kikubwa cha ferre kwa upande wa rhumba music.

Kwa upande wa huyu mchawi Fally Ipupa utagundua kuwa ana kipaji zaidi kwenye muziki was dansi japokuwa rhumba anaijua pia. Na kinachomuongezea credit Fally ni kwamba anajua sana kutengeneza kundi,anajua kuwatumia wasanii na wapiga vyombo wa kundi lake.

Na hata katika kundi la Quartier Latin International la kwake gwiji wa muziki Koffi Olomide ambalo wote hawa wamelitumikia,utagundua kuwa Fally aling'ara zaidi ya Ferre. Hata siku moja Koffi aliulizwa ni msanii wake gani anayemuona kuwa ni bora kuliko wengine bila kusita alimtaja Fally.

Kwa hiyo Ferre Gola inabidi akaze kweli kumfikia Fally Ipupa.
 
Hapa nimekuweke video ya Ferre Gola wimbo wake wa 100kilos ambao binafsi naamini ndio wimbo bora wa rhumba wa wakati wote.
 
Ferre gola kapoteana miaka ya hivi karibuni. Lakini pia ukiangalia styles za mziki wanazoimba utagundua Ferre anaweza zaidi rhumba na ndicho kilichomfanya Werrason akamkubali mwaka 1996 wakati Ferre anajiunga na kundi la Wenge Maison Merre. Ukisikiliza wimbo kama Vita imana na 100 Kilos utagundua kipaji kikubwa cha ferre kwa upande wa rhumba music.

Kwa upande wa huyu mchawi Fally Ipupa utagundua kuwa ana kipaji zaidi kwenye muziki was dansi japokuwa rhumba anaijua pia. Na kinachomuongezea credit Fally ni kwamba anajua sana kutengeneza kundi,anajua kuwatumia wasanii na wapiga vyombo wa kundi lake.

Na hata katika kundi la Quartier Latin International la kwake gwiji wa muziki Koffi Olomide ambalo wote hawa wamelitumikia,utagundua kuwa Fally aling'ara zaidi ya Ferre. Hata siku moja Koffi aliulizwa ni msanii wake gani anayemuona kuwa ni bora kuliko wengine bila kusita alimtaja Fally.

Kwa hiyo Ferre Gola inabidi akaze kweli kumfikia Fally Ipupa.
Fere anadai kuwa Fally anaupoteza Music wa Congo kwa kuchanganya na vionjo vya music wa kizazi kipya kama RNB, Anasema Yeye anaimba zaidi Rumba na anadai kuwa Mentor wake ni Werrason. Hata nakumbuka miaka ya zamani Koffi Olomide alikuwa akituhumiwa na wanamuziki wengine kuwa anaimba Zouk na wadansa wake hawana ukakamavu
 
Nimefurahi umenipa kitu kipya kichwani mkuu.
Ferrw analalamika tu bila sababu hajui kuwa muziki unabadilika. Hata muziki wa Congo umepitia mageuzi ambayo wao wanaita generations yaani vizazi.
Kizazi cha kwanza cha kina Franco luambo makiadi na kina tabuley huwezi kulinganisha na kizazi cha pili cha kina papa wemba na zaiko langalanga au kizazi cha tatu cha akina fally na ferre. Ukisikiliza utaona muziki/style in ileile ila kuna vionjo vya kisasa vinaongezeka kwa hiyo na yeye (ferre) inabidi abadilike kulingana na wakati. Faida aliyokuwa nayo ferre ni kwamba akiamua muda wowote anarudi kwenye gem kwa sababu muziki anaoimba yaani rhumba ni mziki usiokufa.
 
Nimefurahi umenipa kitu kipya kichwani mkuu.
Ferrw analalamika tu bila sababu hajui kuwa muziki unabadilika. Hata muziki wa Congo umepitia mageuzi ambayo wao wanaita generations yaani vizazi.
Kizazi cha kwanza cha kina Franco luambo makiadi na kina tabuley huwezi kulinganisha na kizazi cha pili cha kina papa wemba na zaiko langalanga au kizazi cha tatu cha akina fally na ferre. Ukisikiliza utaona muziki/style in ileile ila kuna vionjo vya kisasa vinaongezeka kwa hiyo na yeye (ferre) inabidi abadilike kulingana na wakati. Faida aliyokuwa nayo ferre ni kwamba akiamua muda wowte anarudi kwenye gem kwa sababu muziki anaoimba yaani rhumba ni mziki usiokufa.
Tatizo la Ferre siyo timu player, hawezi kuasemble kundi likamng'arisha. Fally kamuiga Koffi staili zake ndo maana hata nyimbo za Koffi zinawagusa zaidi vijana. We angalia mtu kama JB alivyopotea
 
We umesikiliza Rhumba za Akina Pepe Kale, Kanda Bongoman, Loketo(kundi bora katika muzic) Kuwahi kutokea Congo, Ferre ajipange atakuwa zilipendwa.
Mkuu rhumba zipo nyingi ila kwa Mimi hii ya ferre imenikamata. Rhumba ya pili kwangu kwa ubora ni ibetibi aliyoimba pappy tex katika kundi la empire bakuba la kwake yampanya kabasele "pepe kalle"
 
Tatizo la Ferre siyo timu player, hawezi kuasemble kundi likamng'arisha. Fally kamuiga Koffi staili zake ndo maana hata nyimbo za Koffi zinawagusa zaidi vijana. We angalia mtu kama JB alivyopotea
Usemacho ni kweli kabisa Fally anajua kutengeneza kundi tofauti na ferre. Hata kwa jb nae hivyo hivyo tofauti na werrason
 
JB lile kundi la wenge lililosambaratika lilimsaidia sana maana yeye ndiye alibakiwa na wanamuziki wazuri lakini baada ya Albamu ya Internet waliposepa jamaa aliyumba sana, Tofauti na Koffi ambaye ameshaunda makundi ya Quarterlatin kama mara 3au 4 hivi na bado jamaa anang'ara
 
Kwa upande wa sebene basi Ngiama kanikosha sana. Werrason anajua mno mpaka kapitiliza. Wimbo wangi bora kwa werrason basi ni Kibuisa Mpimpa uliopo katika albam ya Operation Dragon

Humu linasikika gita tamu mwanzo mwisho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom