donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,138
Hawa jamaa nilianza kuwasikia first kwenye ngoma yao inaitwa carola ila kama sikuwaelewa hivi. Ila hii ngoma yao ya passenger, kwakweli imenibamba, hususan pale mwisho jamaa anavyomwaga kidogo francaise, keep the good music alive.