Jamii forum TALENT show..!!

Jamii forum TALENT show..!!

makaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2018
Posts
318
Reaction score
376
Kama Inavyojulikana Kwa dunia ya sasa vipaji (talent) imekuwa nguzo muhimi kuwaondoa vijana wengi kweny Lindi la umaskini. Kila mtu ni shuhuda jinsi watu wenye talanta zao wanavyotengeneza pesa ndefu mpaka kufikia kutoa ajira Kwa baadhi ya wasomi.

Hivyo basi hata hapa jukwanni kuna watu wana vipaji lakin wameshindwa kutusua Kwa sababu mbali mbali. Sasa basi nipende kuwakaribisha wote wenye talanta zao hapa ili tushauriane , tufarijiane na kutiana Moyo pia.......... Pia mtu anaweza anaweza pata ushauri wa kitaalamu kabisa namna ya kuendeleza kipaji chako.

Hivyo basi ndugu member unawez ukatupandishia ka " demo" kako hapa Kwa jukwaa ili tukusikie unachofanya ....inaweza kuwa kuimba, kudance, song writer, mieleka, ndondi, player.....jaman vipaji vipo vingi........

Mimi binafs ni nina kipaji cha u presenter.....soon ntapandisha ka demo kangu hapa............

Nawasilisha wanajukwaa karibun tushow our talent" dedication song August Alsina benediction"
 
Siti ya kwanza wanasemaga!
Mkuu siti ya Kwanza sio nzuri, kule mv Nyerere inasemakana wa siti ya Kwanza hakupona hata mmoja...kakipaji hauna wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom