Naomba msaada wa jina la wimbo huu na Bendi iliouimba

MBOMBWE

Member
Nov 4, 2014
61
23
Habar waungwana....!
Nayakumbuka baadhi ya maneno yake" Costa wangau baba, unihurumie,.....kama ni watoto fika kwangu Costa, utawaona utawaona, na sasa nilikalaga na wewe bila ya kuleta ma..." Ni baadhi ya maneno ninayo yakumbuka, Tafadhali kwa anaye Ufahamu Tafadhali
 
Wimbo unaitwa Koza. Umeimbwa na General Defao akishirikiana na mwanamuziki mwingine aitwae Suke Chile kutoka nchini Zambia.
 
Mwimbaji ni Kayembe Chez Ntemba. Aliwahi kufanya kazi na Defao Matumona kama prodyuza/meneja.
 
Hapana, aliyeimba sio Kayembe Chez Ntemba BALI ni SUKE CHILE na ndio mwenye wimbo ila kamshirikisha Defao
 
Hapana mkuu. Ninao lakini bahati mbaya hapa nilipo nipo mbali na nilipouhifadhi. Pole sana.
yaani ni tabu tupu...........nmejaribu ku download unaniletea defao ft chezntemba-suka chile. kuudownload wimbo ni mwingine kabisa
 
Mwimbaji ni Kayembe Chez Ntemba. Aliwahi kufanya kazi na Defao Matumona kama prodyuza/meneja.
Wimbo umeimbwa na Defao na Suke Chile. Kayembe ( Augustin Kayembe) ni promota wa mambo ya burudani kama muziki na ni mfanyabiashara maarufu mzaliwa wa Zambia lakini wazazi wake wakitokea DRC. Anamiliki night clubs kali karibia 50 zinazoitwa "Chez Ntemba" katika nchi mbalimbali kama Zambia, Malawi, Angola, South Africa, Msumbiji, Namibia na kwingineko barani Afrika. Kutokana na umaarufu wake wanamuziki mbalimbali hasa kutoka Zambia alikozaliwa na pia DRC kwenye asili ya wazazi wake wamekuwa wakimuimba au kumtaja sana katika nyimbo zao.
 
Yaap, nilikunywa sana bia aina ya Carlsberg special pale Chez Ntemba Club jijini Blantyre nchini Malawi
 
Habar waungwana....!
Nayakumbuka baadhi ya maneno yake" Costa wangau baba, unihurumie,.....kama ni watoto fika kwangu Costa, utawaona utawaona, na sasa nilikalaga na wewe bila ya kuleta ma..." Ni baadhi ya maneno ninayo yakumbuka, Tafadhali kwa anaye Ufahamu Tafadhali
Mwenye huu wimbo koza wangu baba nauomba
 
Back
Top Bottom