Tenzi za rohoni ndio kiungo kikubwa cha imani ya kikristo karibu madhehebu yote
Mwanamuziki wa Injili Rose Mhando anasauti inayofiti sana ikiwa umebahatika kumsikia akiimba wimbo mmojawapo was...
Ikiwa leo ni Kumbukumbu ya ' Mtaalam ' wa Sanaa za ' Mapigano ' duniani ( Martial Arts ) Hayati Bruce Lee naomba wale wenzangu na Mie ambao tulikuwa tukipenda mno Kuziangalia, Kuiga na kwenda...
Shumileta na Nsyuka ni muvi za karne zenye visa visivyochosha kutazama ,hakika ni muvi za karne bongo hawataweza kutengeneza muvi kama hizi teeeeeena.
Sultan Tamba na Musa Banzi rudini bhana...
Kama safari ya mapenzi, nataka kuianzisha mimi na wewe
Nimepita nimeona wengi, jua moyo umekuchangua wewe ×2
Nikiwa karibu na ua ridi, basi na mimi nitanukia
Kukuoa inanibidi, kwa kila hali...
Habati ndugu wanajamvi.Nilikua mpenzi wa hili game enz hizo Likiwa 2015,2016 lakini kwa sasa hv nimeshindwa jinsi nnavoweza kulipata free.Play store linauzwa 19,999 hvyo mtu anaeweza kunielekeza...
Wachina wamshangaza Magufuli, wacheza ngoma ya kisukuma
Hii imetokea wakati wa Ufunguzi wa Chuo kikuu cha DSM wakati akifungua Maktaba kubwa na ya kisasa.
Kwenye maisha siku zote kuna kupanda na kushuka na ndivyo wanavyoombea wengi yatokee hayo kwa CLOUDS FM lakini tatizo Lina kuwa kwa wapinzani wake wako mbali sana kuwafikia CLOUDS .
E-FM wapo...
Habari wakuu
Hapa kanisani kwetu tumeanzisha kwaya ya vijana.Hivyo bado hatujapata jina linalofaa na linalovutia.
Je,kuna jina lolote ambalo unahisi tunaweza kulitumia kama jina la kwaya yetu...
Habari zenu Waungwana,
Nimeona Bora niseme chochote kumpongeza Linex. Amini usiamini tunapozungumzia International standard kwenye music LINEX ni next level.
Huyu jamaa angekuwa na kihelehele...
1.nuruel tumeagizwa upendo
2.rudi ya rogers lukas
3.wachuja nafaka nyimbo inaiywa wachujanafaka plz jamani zitupieni hapa na kama na kunamtu nae anatafuta nyimbo andike na mm ntamsaidia kuweka...
Hii ni tathmini Binafsi.
Tukianzia tangu sakata la ushoga lilipo anza kisha kukolezwa na kuibuka kwa Dudu baya na KONKI yake.Hisia nyepesi ilikua ni muendelezo wa vita Kati ya Makonda na Clouds...
One Incredible na Stereo(Chunda Bad) Jana walionyesha uwezo mdogo sana Wa kufanya show live,KATIKA tamasha lililofanyika Jana pale Nangwanda.
One alikuwa anafanya playback lakini pumzi inamkata...
Habari waungwana, nawasalimu nyote
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mm nimelitazama hili kama swali la kufunga mwaka kwa upande wa burudani na nikaamua kuli_solve kama kipindi kile cha...
Hali zenu ndugu zetu.?
Ni lini show za kibongo wataacha kuvamia mastage hawa watu wanofata?
1. Mabaunsa
2.Camera men
3.Wapambe
Nikicheck show za mbele stage inakua free na msanii anakua huru kuperform
Wakati Tigo Fiesta wakifuta tamasha la mwaka huu huko Dar baada ya kuzuiwa kutumia uwanja wa Leaders Club huko Mtwara tamasha la Wasafi limehudhuriwa na viongozi wa serikali akiwemo naibu Waziri...
Msaada wadau....... kuna nyimbo ya kisukuma huchezwa sana kwenye maharusi huku watu wakitikisa mabega huku wakishuka chini........
Moja maneno ninayo ya kumbuka ni pamoja na
"..........funyagi...
Kama mnavyofahamu, Leo ndio ile siku ambayo ikisubiriwa kwa hamu na Wanamtwara kama sio Tanzania kwa ujumla..
So wale wanyama wote wenye majina makubwamakubwa hapa bongo tayari washadrop Mtwara...