waOLDmoshi
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 879
- 1,758
Wasafi tv wamekatisha ghafla matangazo yao ya moja kwa moja toka sumbawanga kwenye Tamasha la Wasafi festival.
Kwa kile niliicho ona,Kuna uwezekano mkubwa moja ya wasanii hao ameteleza jukwaani wakati wakitumbuiza Nyimbo ya ZILIPENDWA.
Either wawili Diamond na RayVan Kwa pamoja wameanguka