Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
Habari wakuu
Mimi ni mpenzi sana wa muziki mzuri
na nitafurahi sana endapo kuna mtu anazo nyimbo zile original za choir ya vijana mabibo ile ulbum ya sauti ikatoka
Nimejaribu kuingia youtube nakuta hizi zilizofanyiwa modify
Naomba mwenye nazo zile za kwanza kabisa nimuone[emoji114]