Tujadili Tamthiliya ya Sultan

Tujadili Tamthiliya ya Sultan

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,989
Reaction score
4,168
Hivi wapenzi wa hii tamthilya, nikiangalia naona kamq ipo ukingoni, Hurem ameipata Harem na Ibrahim pasha ameishajulikana mwisho wake Hadije atamtaliki hivyo Pasha anaweza kuuliwa. Pasha akiga ndo utamu wa tamthiliya unaisha. Au mnasemaje wapenzi wenzangu?
 
Una uhafidhina wa hali ya juu mkuu. Sauala la kuwa mpenzi wa Tamthilia linahusianaje na jinsia sasa? Kwa taarifa yako tamthilia ya Sultan inatazamwa kwa sasa na kila rika na bila kujali jinsia.
Huyo kazi yake ni boda boda hana muda na TV!
 
Wengine sisi hata kama saa 4 usiku tukiwa hatujarudi home tunaangalizia hata kwa Azam TV App kwenye simu, wapenz wa Sultan tupo wengi sana mkuu......na kwa faida ya bwana Zero IQ jinsia yangu ni ME. hahahaaa.
Pia mimi umeme unapokatika nahakikisha nina bando la kuangalia online.
 
Mambo mengine bwana muwe mnapeleka kwa saloon.
 
Hapana, amenyanyaswa sana na Hurem
Hapana, amenyanyaswa sana na Hurem

Hahahahaa mi naona sawa tu maana sio Hurem wala Mahdevran wote wana makucha yao kila mmoja kwa namna yake. Nilikuwa sijaangalia kama wiki nzima nakuja kukuta Validen na Dai Hatum kumbe walishapita hivi asee? tutaimiss ile sauti adhimu sana ya Validen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom