Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,175
- 22,576
Chin bees katoa ngoma mpya inaitwa ladha..kiukweli huyu jamaa anajua sana tuu sana.. nendeni YouTube mkacheki..mimi kuziweka hapa inazingua....
Ni kweli mkuu.. chin bees ndo mziki wake huo... ila ladha ni video kali.. director Destro kaua sana..Hajawahiii badilikaaa yanii...Kababayee na Ngoma inogilee hakuna utofauti kabisa.. !
Aah ipo Kama vile dance hall..Trap music sio?
Hahahaha mzeebaba.. nimechange maana wadau wanashikilia Sana dingi..Mzee dingi umeachana Pancho baby boy
Kweli mkuu ..lakini tumpe sapoti tuu atabadilika..Jamaa anajua tatizo nyimbo zake zinafanana kuanzia flow mpaka chorus. Halafu hapendi kusolewa uwa anapanic akiambiwa hivyo. Otherwise yuko vizuri sema abadirike hata kama ni trap anaweza tofautisha wimbo mmoja na mwingine
Hawa wanaofanya Trap wana tatizo la kufanana nyimbo, hata kule mbele ukiwafatilia Migos utaona hilo tatizoJamaa anajua tatizo nyimbo zake zinafanana kuanzia flow mpaka chorus. Halafu hapendi kusolewa uwa anapanic akiambiwa hivyo. Otherwise yuko vizuri sema abadirike hata kama ni trap anaweza tofautisha wimbo mmoja na mwingine
Hawa wanaofanya Trap wana tatizo la kufanana nyimbo, hata kule mbele ukiwafatilia Migos utaona hilo tatizo