Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Hellow: Kama nilivoandika hapo juu naomba mnisaidie majina na pia ziwe nzuri but ziwe za 2016/2017
1 Reactions
24 Replies
4K Views
good day music lovers where are you comment below lets talk about music with mazamusic, both drake, quavo, migos, chris brown
1 Reactions
167 Replies
11K Views
Huyu jamaa anapenda hip pop na uwezo wa ku flow anao mzuri si mbaya.shida kubwa amekosa akili ya kutunga wimbo ukawa na maana yaani ukaeleweka anaongelea nini Ana tofauti kubwa na fid q ambaye...
9 Reactions
28 Replies
5K Views
Mwenye hii movie inaitwa Regina iliyotolewa na kampuni ya JB Jerusalem films anisaidie. Nimeitafuta miaka miwili iliyopita bila mafanikio. Tafadhali mwenye nayo anisaidie naipenda sana.
3 Reactions
25 Replies
7K Views
Come back ya mzee wa maisha na muziki kama sijaielewa hivi, hii ngoma inavyoanza baadae inabadilika kabisa halafu pia kama ya kawaida Sana, sijui nyie mnaionaje wakuu?
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Wakuu, naomba kujua, hope channel/morning star, huwa kinapatikana katika visimbuzi vya kampuni zipi.......?
3 Reactions
2 Replies
1K Views
KOFFI OLOMIDE": Kabla hata Group "QUARTIER LATIN" halijaanzishwa rasmi, nilikua nikifahamika Inchini kote kama "L'ETUDIANT LE PLUS CELEBRE DU ZAIRE" / MWANAFUNZI ALIE MAARUFU SANA INCHINI ZAIRE...
7 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu Mimi nashindwa kuelewa kweli kuhusu soudbrown na diamond platnumz mbona anamuwinda sana mtoto wa watu? Ndo kutumwa na ruge mutahaba kiasi hiki kweli hakika kuna MTU mwisho wake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Akiwa kashikilia nyaraka za kibenki mikononi mwake, kwa taratibu Johari alielekea chumba maalum cha maongezi cha benki yao. Chumba ambacho kilitengwa maalum kwa ajili ya kufanya maongezi na wateja...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Wakuu huu wimbo nimeubamba ndani siku mbili hizi. Naona umenikolea vibaya sana mpaka leo kutwa nzima nausikiliza Do anybody is familiar with this very nice song?
0 Reactions
3 Replies
996 Views
Yanga bhanaa
0 Reactions
0 Replies
451 Views
Bila kupoteza Muda nitaeleza mapungufu na maboresho katika wimbo huu. 1.Wimbo huu umetumika kama tangazo pia la kinywaji cha Mofaya ambapo mwanzo alikiba anawasiliana na mpezi wake kumpa miadi ya...
3 Reactions
27 Replies
7K Views
Kwenye hii mnaita bongofleva alikiba ameitendea haki Sana kuna nyimbo Kama hii ya mwana Alikiba Mali ni nyingi nyumbani kipi kimekukimbiza Ona babio mamio wote wanakulilia Mtoto peke yako...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Samata ni mchezaji mwenye magoli 11 katika ligi ya ubelgiji akiwa anaongoza,amaekua faraja sana kwa watanzania. siku chache zilizopita alitengeneza makala inayomusuhu maisha yake kiujumla
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa wale waliofika tunduma naombeni mnitqjie baadhi ya mitaa ya huko
0 Reactions
3 Replies
45K Views
Habari za week end wakuu. Jamani kama kuna mwenye audio ya zamani ya nyimbo ya diamond I miss you, ile ambayo verse ya pili ni tofauti na I miss you yenye video..... naomba mnitumie wakuuu. Asante
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naamini kuna wana TBC huwa wanapita humu! 1, Jumamosi ya kesho (Tarehe 15 december) rasmi mtazindua chanel yenu mpya kwa ajili ya utalii itayoitwa TANZANIA SAFARI, hii ni hatua kubwa na nzuri na...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…