ALIKIBA-KADOGO, Uchambuzi Binafsi.

ALIKIBA-KADOGO, Uchambuzi Binafsi.

Mzalendowadamu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2016
Posts
218
Reaction score
319
Bila kupoteza Muda nitaeleza mapungufu na maboresho katika wimbo huu.
1.Wimbo huu umetumika kama tangazo pia la kinywaji cha Mofaya ambapo mwanzo alikiba anawasiliana na mpezi wake kumpa miadi ya kutoka. Hapo mwanzo katika mawasiliano hayo alikiba hayuko imahaba yaani sio romantic, anaongea kwa kuamrisha zaidi ya kubambaleza na pia katika hali kama ya ubishani na mrembo huyo Kiba anaoekana kushindwa baada ya mdada kuikataa Mofaya na kuhitaji kinyaji mbadala na Kiba kukubali kumpatia hicho kinyaji Mbadala. Kama lengo ilikua kutangaza basi haja ya binti ingeakua ni Mofaya na si vinginevyo.
2.Naamini wakati Anaandika mna kutunga Melody wa wimbo huu ni dhahili Kiba akilua anawaza mpinzani wake Diamond na nyimbo zake kama Jibebe na Nyegezi au Mwaza. Kiba anaoekana kusikia sauti za mashabiki wake wanao mtaka aachane na Masebene ya Kongo na hata hivyo anaonekana kutaka kmuiga mziki wa Diamond. Ikumbukwe baada ya Davido kutia wimbo wa IF, Africa nzima ilibadili mtindi na hapo tukaona nyimbo kama Eneka nk. Si Mondo pekee bali ni africa nzima huenda na upempo wa Davido kama utakumbuka baada ya Gobe ikaja Golibe na Mdogomdogo na zinginezo. Sasa Diamond akafanya kuadili sauti na kuimba besi ya chini halafu pana na hapo utakuta amepooza zaidi bila kupoteza ladha na unapata kitu kama Nyegezi na jibebe. Kiba naye anaonkana kutaka kuzamia huko kwa Jibebe na kuacha staili yake, sio mbaya ila tuojua tumelione hilo anataka kuwaiga WCB.
3.Mashairi ya Kiba ni kama hayaeleweki, anajaribu kuimba Englisha isiyo eleweka na anatafuna maneno ili tusielewe, Sijui kama analazaimishwa au la lakini kama lugha hauijui basia achana nayo.
4. Uvaaji uko havyohavyo ni kama anamvalia mkewe sebuleni, havai kwa hadhi yake
5. Mdundo uliotumika ni wa Seduce me, ila kilicho fanyika ni kuondoa vinanda flani tu
6. Location, Video ya Seduce na Kidogo zote za sebuleni na Mirangi ya Blue imeyawala
Namshairi alikiba Aendelee kutoa wimbo mmoja kwa mwaka maana kwa hali hii watamchoka tu.
Anapata sapoti ya watu wenye chuki na Diamond ambao hawaangalii ubora wa kazi.
Zaidi ya yote nampongeza angalau kabadilika toka masebene.
 
Mtoa mada inaonekana dhahir unaMAHABA niue ya team flan hvii
kopo limesimama mzee!!!
 
!
!
Ulitaka Nae Asukie Prima Afro Kama Za Qeen Darlin Au Mama Dangote? Avae Mahereni Na Machenicheni Laki Miamia Ili Aonekane Msanii?
Mbona Una Mahitaji Ya Kingese Mno.
Rasta Zile Diamond Anamsapoti Mobetto Ndio Unataka Nae Kiba Asuke Prima Afro?
 
huyu jamaa either akubali kuungana na mond au akalime mziki ni zero kabisa
 
!
!
Ulitaka Nae Asukie Prima Afro Kama Za Qeen Darlin Au Mama Dangote? Avae Mahereni Na Machenicheni Laki Miamia Ili Aonekane Msanii?
Mbona Una Mahitaji Ya Kingese Mno.
Rasta Zile Diamond Anamsapoti Mobetto Ndio Unataka Nae Kiba Asuke Prima Afro?
Swala la Mavazi kwa msanik\i wa kizazi kipya au hata zamani ni jambo muhimu. Ndio maana suti za Michael Jackson mpaka leo zinauzwa kwa mamilioni ya dola. Huwezi kuzuwia watu kuchambua ndio maana ya kuwa star.
 
Kila Mmoja Ana Uvaaji Wake Bwana. Sio Wote Wavae Macheni Na Kushuka Rasta Za Prima. Ali Kiba Huenda Hayo Kawaachia Wengine. Au Ulitaka Avae Majani Kama Mpoto
 
!
!
Ulitaka Nae Asukie Prima Afro Kama Za Qeen Darlin Au Mama Dangote? Avae Mahereni Na Machenicheni Laki Miamia Ili Aonekane Msanii?
Mbona Una Mahitaji Ya Kingese Mno.
Rasta Zile Diamond Anamsapoti Mobetto Ndio Unataka Nae Kiba Asuke Prima Afro?
Alitaka abebe kibeg[emoji3][emoji3] avae truck suits nyekundu na nyeupe
 
Nimepatwa na shaka na uelewa wa mtoa hoja, maelezo yake yamejawa na makosa kibao kuanzia ya kisarufi mpaka ya kimantiki. Kama umeshindwa kuandika vizuri na kujenga hoja, utawezaje kuitazama kazi ya mwenzako na kuichambua? Hawa ndiyo wale vijana wadogo ambao kwao muziki ni Diamond vs Alikiba tu, uelewa wao ume-hit the ceiling hapo! SMH
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom