Naombeni kujua baadhi ya mitaa ya TUNDUMA

Naombeni kujua baadhi ya mitaa ya TUNDUMA

Jopa03

Member
Joined
Oct 24, 2018
Posts
64
Reaction score
39
Kwa wale waliofika tunduma naombeni mnitqjie baadhi ya mitaa ya huko
 
Huko Tunduma kuna mitaa kama, majengo, sogea,kaloleni, migombani, tukuyu(mangurueni), makambini, mwaka, unyamwanga, mataifani, maporomoko, mapogoro n.k
 
Back
Top Bottom