Nahitaji audio ya zamani ya I miss you - Diamond

Nahitaji audio ya zamani ya I miss you - Diamond

whiper

New Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
4
Reaction score
1
Habari za week end wakuu.
Jamani kama kuna mwenye audio ya zamani ya nyimbo ya diamond I miss you, ile ambayo verse ya pili ni tofauti na I miss you yenye video..... naomba mnitumie wakuuu.
Asante
 
Back
Top Bottom