HIVI SOUDBROWN ANA NINI KWA DIAMOND?

HIVI SOUDBROWN ANA NINI KWA DIAMOND?

mynah

Member
Joined
Sep 8, 2018
Posts
59
Reaction score
89
Habari zenu wakuu Mimi nashindwa kuelewa kweli kuhusu soudbrown na diamond platnumz mbona anamuwinda sana mtoto wa watu?
Ndo kutumwa na ruge mutahaba kiasi hiki kweli hakika kuna MTU mwisho wake utakua mbaya
Anavyomfuatilia kama mwanamke aliempenda sana mwanaume alafu mwanaume hana mpango nae....
 
Back
Top Bottom