Kwenye hii mnaita bongofleva alikiba ameitendea haki Sana kuna nyimbo Kama hii ya mwana
Alikiba
Mali ni nyingi nyumbani kipi kimekukimbiza
Ona babio mamio wote wanakulilia
Mtoto peke yako...
Samata ni mchezaji mwenye magoli 11 katika ligi ya ubelgiji akiwa anaongoza,amaekua faraja sana kwa watanzania.
siku chache zilizopita alitengeneza makala inayomusuhu maisha yake kiujumla
Habari za week end wakuu.
Jamani kama kuna mwenye audio ya zamani ya nyimbo ya diamond I miss you, ile ambayo verse ya pili ni tofauti na I miss you yenye video..... naomba mnitumie wakuuu.
Asante
Naamini kuna wana TBC huwa wanapita humu!
1, Jumamosi ya kesho (Tarehe 15 december) rasmi mtazindua chanel yenu mpya kwa ajili ya utalii itayoitwa TANZANIA SAFARI, hii ni hatua kubwa na nzuri na...
Mimi binafsi si mpenzi wa muziki wa taarabu lakini nimekuwa nikiufuatilia kwa muda sasa...Kitu kinachonivutia ni lugha ya picha ambayo inavutia sana endapo mtu unapata nafasi ya kuitafakari...
Habari wanajukwaa
Nimekuwa mfatiliaji wa muziki wa hiphop kwa mda mrefu, nyimbo nyingi zimetoka hivi karibuni,ila hii ya young killer imenifanya kuukumbuka mziki mzuri wa hiphop
baadhi ya...
Inasemekana hii imetokana na mafanikio yake kwenye biashara zake mbali na muziki ambapo ameingiza mkwanja mrefu sana kwenye DiamondKaranga,ChibuPafyum,Ubalozi wake kwenye kampuni kubwa kama...
Sjava – Umqhele Zip Album Download.
South African Hiphop, Soul And R&B Artist Sjava Signed To Ambitious Entertainments Drops His Highly Anticipated 2 Disc 18 Tracks Album Titled Umqhele And As...
Haya ni maoni yangu binafsi ambayo naomba yaheshimiwe na simlazimishi Mtu ayakubali japo nakaribisha ' Kukosolewa ' nayo ila kwa Hoja na Mantiki.
Sidhani kama baada ya kutokea tatizo...
mi nadhani wanaume wapenda taarabu, michiriku, na vigodoro wanatuaibisha wanaume wengine wa dar..... nimesoma sehemu eti wanawake wa dar zamani walikua wanatoka geto wanachechemea saiv wanatoka...
DJ Sumbody hands out a potential club scorcher on the chronicle Monate Mpolaye which highlights rap investor Cassper Nyovest. The tune places Cassper in a new circumstance and he confessed all...
SEHEMU YA 01
Kweli maisha ni safari ndefu. Kama ilivyo safari ndefu yoyote ile, ina milima, mabonde, mbuga na misitu. Na waswahili wana msemo usemao "Kabla hujafa hujaumbika".Leo unaweza kujiona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.