Darasa new joint : Achia njia..

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,031
21,499
Come back ya mzee wa maisha na muziki kama sijaielewa hivi, hii ngoma inavyoanza baadae inabadilika kabisa halafu pia kama ya kawaida Sana, sijui nyie mnaionaje wakuu?
 
Hii ngoma kama ataipush sana inaweza ikamrudisha... Tatizo kila ngoma atakayotoa watu wanataka iifikie "mziki" wanasahau ile ni hit song na mara nyingi huwa zinatokeaga tu baada ya kukutana na upepo mzuri
 
Yaani ni ngoma ya kawaida tu, jamaa hajabadilika kutoka katika style aliyozoeleka na wananchi. Kwa kimya alichokaa hakupaswa kuja kwa mtindo huu. Producer amefanya maajabu, beat kaliii, video mashallah pia
 
Hii video leo imenisaidia kupata girl niliyekuwa na mfukuzia aseeeeee wiki ijayo namgegegda.....

HINT.

WIKI IJAYO NA MGEGEDA ,,NA PIA NITALETA MREJESHO
 
Hii ngoma kama ataipush sana inaweza ikamrudisha... Tatizo kila ngoma atakayotoa watu wanataka iifikie "mziki" wanasahau ile ni hit song na mara nyingi huwa zinatokeaga tu baada ya kukutana na upepo mzuri
Daah umenena vyema mkuu
 
Yaani ni ngoma ya kawaida tu, jamaa hajabadilika kutoka katika style aliyozoeleka na wananchi. Kwa kimya alichokaa hakupaswa kuja kwa mtindo huu. Producer amefanya maajabu, beat kaliii, video mashallah pia
Kabisa mkuu, kioo Cha ukweli na beat ila ngoma naona kawaida sana
 
Write your reply...wimbo ni mzuri sana tu!! hauna tofauti na maisha na muziki!! halafu hiyo style ndo Identity yake kwa sasa hvyo huwezi kusema anaimba styles zile zile!!! Yeye ni Darassa na anaghani kama Darassa!!!
 
Well said ngoma nzurii sana ukiangalia hata producer amefanya kazi nzuri
 
Write your reply...wimbo ni mzuri sana tu!! hauna tofauti na maisha na muziki!! halafu hiyo style ndo Identity yake kwa sasa hvyo huwezi kusema anaimba styles zile zile!!! Yeye ni Darassa na anaghani kama Darassa!!!

Kuna kitu kwenye huu wimbo, mara kadhaa kutoka line moja kwenda nyingine pause inachukua muda zaidi ya kawaida kama vile anavuta pumzi.

All in All, unaposet standard watu wanategemea uendelee kuperform katika standard hiyo au zaidi, angalia nyimbo alizofanya kabla, then akaja na Too Much, Muziki ilikuwa ni upgrade ya Too Much, baada ya hapo kashuka sana.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom