Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Published on 1 Nov 2013 Christian Bella & Malaika Band Nakuhitaji Dir: Meja & Osman Source: Bongofive ya youtube
1 Reactions
2 Replies
11K Views
Hiki ndio kikosi nataman kianze kesho kwenye mechi ya kombe la klabu bingwa baran afrika Kati ya Simba na Al ahly. Kwanza napenda kusema kwamba sina lengo la kumpinga kocha au kumpangia majukumu...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Salaaam wakuu....... Bila Shaka mu wazima na kheriiiii,Kama topic inavyojieleza natafuta wimbo wa tot/komba wa CCM NI ILE ILE mwenye nao au anajua link Tafadhali Shukrani Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Please mwenye nyimbo hizi za bongo flava naziomba 1. Mtani jirani - Juma Nature 2. Kicheko tu - BDP 3. Kula kona - Manzese Crew 4. Bosi - BWV (from mwanza kirumba) 5. Haki - Mr II Ft...
5 Reactions
30 Replies
19K Views
Huu wimbo nani anao "WAGAMBO" sidhan kama nimekosea jina ila mistari yake ni "WAGAMBO TUHESHIMIWE TUTHAMINIWE " wa long sana
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwakeli niwe muwaz,napenda sana muziki a reggae, ni muziki ambao huuchoki kuusikiliza,kuanzia beats mpaka vocal ni namna gani hawa watu wanakipaji cha muziki. Hata MTU asivutie kwenye kuimba lakin...
8 Reactions
30 Replies
4K Views
mi nakumbuka chorus tu na mara ya kwanza kuisikia ni kwenye kifo cha complex na viviani''mpenzi mi nakwenda safari mpenzi m na kwenda safari penzi letu ulilinde usiwe na hofu mpenzi penzi...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Chorus; Baby nipe redio nipate kusema nawe
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mzuqa! Huyu mzee hapana aiseee. Huu wimbo wake Loving you desperately ni mzuri mno. Special dedication Valentines day 2019 Kuna kipande kaimba hivi: Will I laugh, will i cry like, will I...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
tizama filamu mpya ya msanii maarufu madebe lidai filamu iitwayo Singeli bonyeza link ukaitazame moja kwa moja
0 Reactions
2 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Hello Wana JF, Kati Ya Mbosso Na Aslay Nani Ni Kipenzi Cha Watu?
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Uongo mbaya Mwili umesisimuka iko siku nitatembelea huko Na hichi kingine cha Kiamharic Kihabeshi.
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari zenu kila mmoja samahani naulizia kikundi cha kujifunza sanaa ya maigizo kinacho patikana maeneo ya mikocheni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SIMULIZI;NAACHA UCHAWI. MTUNZI;RAJA SADY. WHATSAPP;0756920739. SMS;0621047841. SEHEMU YA KWANZA ( 01 ) ANZA NAYO.... Napenda kuwasimulia kisa hichi ili nanyinyi wenye mipango ya kuwa wachawi...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nani alie na zile volume za Colombo,ni miziki ambayo ilikuwa ikitoka kwa volume kama kuna mwenye nayo ile volume 2 anisaidie. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Nyimbo mpya kabisa alikiba akishirikiana Timaya msanii kutoka Nigeria To be honest alikiba anajua jamani, ngoja nikuache usikilize mwenyewe kwenye link hapo chini. Sent using Jamii Forums...
4 Reactions
31 Replies
8K Views
  • Poll Poll
Kwa wale wenzangu wapenzi wa miziki ya lingala,naomba view zenu.Mimi binafsi ninawakubali sana hawa wasanii wote wawili kiasi ninashindwa kuamua yupi zaidi.Naomba mtazamo wako,nani mkali zaidi...
1 Reactions
79 Replies
27K Views
tukumbushane zamani kidogo,dsm kukikuwa na kumbi za cinema kama,empress,empire,newchox,avalon,cameo,odeon na drive in,,empress ndo ulikuwa ukumbi wa wajanja,hasa watoto wa ilala,kila jmosi...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Niliona uzi humu kuwa mwanaume unaanzaje kuangalia Sultan kama sio tabia za kike, ikanibidi nicheke kwanza na kumuona yule aliyeleta ule uzi na waliokuwa wanamsupport hawana akili timamu na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…