Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mtu kuwa marehemu hakuondoi uchungu kwa wale aliowafanyia mabaya. Na ndo maana baadhi ya mila zina ruhusu mtu kusema kama alikuwa anadaiwa au anamdai marehemu. Na baadae mtu anaweza kusema kama...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Kifo cha Ruge kimenifanya nikajikuta natafakari safari ya muziki wa Tanzania was kizazi kipya, alias Bongo fleva... Trend ya muziki wa bingo fleva kwa sasa ipo juu. Kwa sasa ni rahisi mwanamuziki...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
*SIMULIZI YA DORCAS-01* Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25 ambaye ni yatima niliyezaliwa peke yangu kwa wazazi wangu ambao sikubahatika kuwaona, kwa sasa naishi jijini Dar es Salaam...
11 Reactions
126 Replies
22K Views
DTH/DTT Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mzigo ndio huo hapa wakuu. Support na Maoni yenu muhimu kwa huyu upcoming artist. CC chige donlucchese
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJF? Naomba tukumbushane mashairi ya kwenye wimbo wa NZIGE unaoitwa CHUMBA CHA MTIHINI nawaomba mshushe baadhi ya mashairi yaliyopo kwenye wimbo huo . *Verse 1: Ndani ya chumba...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Ukweli ni kwamba kila kazi na fursa zake, palipo na fursa hapakosi changamoto na kila mtu na mazuri yake na mapungufu yake. Ruge Mutahaba anaweza kuwa ametajwa kwenye masakata mengi ya ubaya...
3 Reactions
33 Replies
9K Views
Katika muziki wa Hip Hop, Beef huwa haipukiki.. Kutoka na utamaduni wa majigambo juu ya maisha mazuri, gari nzuri, dem mkali, hela za kutosha bank basi conflicts huibukia hapo.. Tunakumbuka 2pac...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Kuna jamaa anaimba gospel ana mix kilugha,kiingereza na kiswahili nadhani ni mzambia au zimbabwean ameimba huwo wimbo wa ni zurii na yesue kama unamjua jina lake naomba hapa ili nizitafute hizo...
1 Reactions
3 Replies
826 Views
Hulkshare.com hello wafu fm-dani and kulw.mp3hey jamani Hii album ni noma, list ya Wasanii walishiriki ni Mr II Mkoloni wa Wagosi wa Kaya. Danny Msimamo K wa mapacha Soggy Doggy Summa G and nina...
2 Reactions
26 Replies
15K Views
Kwa walioshuhudia leo utolewaji wa tuzo za #SinemaZetuInternationalFilmFestive2019 lazima wengi wao wameguwaa na kustaajabu namna ambavyo mambo yamekuwa na mshanga mkubwa yaani uliye mzania na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekua nikisikia jinsi baadhi ya wasanii wa muziki wa bongo fleva ambao wengi hatukatai kama kampuni ya clouds media group na ile ya zamani ya prime time promotion imefanya mengi hususani katika...
2 Reactions
27 Replies
8K Views
Ameyasema hayo asubuhi hii redioni Clouds fm.. Ameamua hivyo kuonesha CLOUDS FM ni institution binafsi ina maamuzi yake!
0 Reactions
55 Replies
7K Views
School dance pitch perfect old school the part animal na nyingnezo tukutane tujulshane michongo mipya na ya zaman ilio kwenye chart Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
5 Replies
2K Views
.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Shetani ndiye aliye mshawishi au kumdanganya Eva kula tunda lililo katazwa na Mungu. Kosa lake la kwanza ni kumjibu: Eva alimjibu, “Mungu kasema tukila au kuyagusa matunda yaliyo katika mti ulio...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni vigumu kumlinganisha Jack Bauer na Jason Bourne kama ilivyo vigumu kuwalinganisha Jackie Chan na Bruce Lee au James Bond na Willie Gamba ama Carlos the Jackal na Companero the Vulture. Njia...
1 Reactions
67 Replies
9K Views
Kikundi cha sanaa ya maigizo cha living stone Kinachoundwa na wasanii wa ujiji,kibirizi,na katonga, mkoani kigoma kipo hatiani kufungiwa, kutokana na Mkuu wa kundi hilo ramadhani...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kumbe Mrisho Mpoto akiwa Bongo anatembea peku. Lakini akishakwea ndege kwenda nje ya nchi anaacha mila yake Tanzania ananyuka viatu na sandles kali kali.
0 Reactions
3 Replies
905 Views
Back
Top Bottom