UEFA YAKATA MZIZI WA FITNA UNITED NA PSG

Chambou255

Member
Feb 15, 2019
12
45
Shirikisho la soka barani ulaya limemaliza utata wa penalti ulitokea kwenye mechi ya mtoano kati ya Man United na PSG na kusema kwamba penalti ilikuwa stahiki.

Mpira ulipigwa na diego dolot na kumgonga Kimpembe mkononi, awali mwamuzi Damir Skomina hakuona ila baada ya msaada wa VAR akaamua liwe tuta na Marcus Rashford kuifungia Man Utd goli la kuwavusha robo fainali.

UEFA wamesema mkono wa Kimpembe ulikaa kwenye njia ya mpira na kuzuia goli hivyo ni uamuzi sahihi, Neymar akiwa nje anaugulia enka akisema ni maamuzi mabovu kwa upande wa mwamuzi.

PSG sio wageni wa kufanyiwa comeback za kihistoria ikikumbukwa ni miaka miwili tu tangu Barca wawafunge 6-1 Camp Nou wakifungwa 4-0 na PSG.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom