Watch "Lucky Dube Good Things (with lyrics)" on YouTube

ni wakati stahiki sasa" kwa dunia kuweza kumpatia heshima kubwa lucky dube" maana" mambo aliyoyafanya kwenye tasnia ya music wa regge ni makubwa mnooo".... lakini heshima aliyonayo kwenye jamii haiakisi uzito mkubwa anaopaswa kupewa".....

nashukuru leo nimekutana na Uzi unaomuhusu yeye".... kwa maaana week hii nzima kuna mahali nilikuwa mapumzikoni "... nikaamua kujipumzisha kwa kuwa na Suki Liza nyimbo za lucky tu pekee"...Aiseee nitamke wazi tu kuwa awali nilikuwa na mkosea sana lucky dube maana nilikuwa namchukulia poa sana " lakini imani yangu kwake ilianza kuimarisha upendo dhidi yake baada yakusikiliza vibao vyake viwili tu vya awali" kabla hata sijachukua maamuzi yakuendelea kusikiliza nyimbo zake nyingine zaidi ".... nikajikuta natamka kwamba the guy he was a genius wallahi "... kama kweli unaupenda .unauthamini na kuujua mziki" huwezi weza zishinda hisia zako" na kuziamuru ziache kuonyesha hisia za furaha na kuufurahia ufundi wa uimbaji na utungaji na mpoangilio bora wa sauti mpaka vyombo pindi unaposikia nyimbo hizi za lucky dube zikichezwa mahali "

(1) I'have got you baby
(2)slave
(3)prison
(4)remember me
(5) is not easy
(6) back to my roots
(7) deference colours .... etc ..
 
(8) love me
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom