The nun ni balaaaaThe Nun and Silent hill ni hatari zaidi
Sio nzuri hata.Sijaona hata moja hapa...ngoja nikadownload
Hivooo???Sio nzuri hata.
Ndio mi nimeziangalia zote zaidi ya mara moja sio nzr na hizitishi kama wanavyodai.ukitaka u enjoy cheki hizi moviesHivooo???
Wrong turn hazitishi bhana,nishazicheki 1-5Ndio mi nimeziangalia zote zaidi ya mara moja sio nzr na hizitishi kama wanavyodai.ukitaka u enjoy cheki hizi movies
1.the hangover 1-3
2.wrong turn (hasa 1-3)
3.walking dead
4.the lost feature
Uta enjoy
Tafuta movie inaitwa LIGHTS OUT,inatisha pia story yake nzuri SanaNgoja nizame Netflix kwanza kisha nitaleta mrejesho.
Poa mkuu umesomeka vyema kabisaTafuta movie inaitwa LIGHTS OUT,inatisha pia story yake nzuri Sana
movie za kipuuzi
gari kugoma kuwaka
mtu kusahau kitu kisha anarudi halafu anauliwa
wananikera ma director wa movie za kutisha
Usisahau kuleta mrejeshoPoa mkuu umesomeka vyema kabisa