KUMBUKUMBU: Miaka 11 baada ya kifo cha Lucky Dube

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
dube.jpg

Siku kama ya leo mwaka 2007 mwanamuziki nguli wa miondoko ya Rege, Lucky Philip Dube maarufu kwa jina la Lucky Dube aliuawa kwa kupigwa risasi

> Tukio hilo lilitokea muda mfupi baada ya mwanamuziki huyo kuwapeleka watoto wake wawili kwa Mjimba wao eneo la Rosettenville Jijini Johanesburg

> Kufuatia mauaji hayo watu 5 walikamatwa na kushtakiwa kwa kuhusika na tukio hilo ambapo 3 waliachiwa huru baada ya kubainika hawana hatia

> Wawili walijaribu kukimbi lakini walikamatwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha jela
 
Naupenda pia remember me ambao anamuimbia mshua wake aliyesepa kwenda town kutafuta maisha then akatekeleza familia na kuoa huko huko..
Kumbe alikua anamzungumzia faza ake
Nilikua nadhani anamuimbia mdogo wake
Basi ndo maana anasema
"Mother died of heart attack many years ago when she heard that you are married again"
 
Back
Top Bottom