Habari,
Kama unapenda kusoma hadithi tafadhari click link hii Sehemu Ya Kwanza | Trust
Niku add kwenye group tuanze kusoma hadithi nitakayo anza kuirusha kila siku.
Sent using Jamii Forums...
Pamoja kua sikupenda simba ishinde ila nilibadirisha mawazo haraka baada ya yanga kufungwa na wanapaluhengo na walichokipata As Vita uo ni mshahara wa unafiki uliofanya zahera na kwa hari hii...
Hii iko kwa wanaume wote au ni Mimi tu?
Yaani mm ni mchepukaji ila wa kutumia akili, siketi ikipita lazima macho yasindikize.
Sasa mke wangu hata nikikuta meseji ya mjamaaa hata wanaofanya nae...
Je, wewe una umri wa miaka 18 na kuendelea na unaweza kuandika mashairi ya muziki pamoja na kuimba/ku-rap na unatamani kupata nafasi ya kurekodi nyimbo ila unashindwa kwa sababu ya kukosa fedha...
Je? Nani aliwapa hizo mask?
Je? Hizo mask zimaweza kuimili sumu au kemikali Kali kabisa?
Je? Kama ni kuogopa chemikali ya kupunguza nguvu mbona wengine wameziba midomo tu?
Wameleta ubishoo ndo...
Mtunzi Juma hiza Sehemu ya 01
Hali ya hewa ilikuwa shwari katika jiji la Daresalaam. Ndani ya chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM kilichokuwepo maeneo ya Posta mtaa wa Shaaban Robert, msichana mrembo...
Kwanza kabisa naipongeza Timu ya Simba Sport Club na Watanzania wote kwa namna mmoja ama nyingine kwa michango yao ya hali na mali mpaka kuiwezesha Simba kufanya vema katika kuiwakilisha East...
Kutokana na heshima kubwa mliyotupa leo... Yaani tutambea kifua mbele kwa miaka kibao mbele, sisi wanachama, wapenzi, na mashabiki tupatao M10 nchinzima, tupo tayari kuwapa motisha.
Tafadhali...
wakuu natafuta nyimbo za hawa jamaa kama wazo la leo, yupi bora kati ya ndugu na rafiki na kila mtu na starehe yake. pia ntafurahi kupata wimbo wa sugu moto chini wa sugu. natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.