NATAFUTA WIMBO/KWAYA HII YA ZAMANI

NATAFUTA WIMBO/KWAYA HII YA ZAMANI

Kizibo

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
4,611
Reaction score
10,484
Heshima kwenu wakuu.

Kwa muda mrefu Sasa nimekuwa nikitafuta huu wimbo au hata jina la kwaya hi ya zamani iliimba wimbo wa PESA na albam yao ikiitwa hvo hivo PESA, na kasha lake lilikuwa na picha ya noti ya 500 ya zamani kama inavyoonekana hapo chini

Naombeni sana msaada wakuu!!!
IMG_20190917_175549_420.jpeg
 
Heshima kwenu wakuu.

Kwa muda mrefu Sasa nimekuwa nikitafuta huu wimbo au hata jina la kwaya hi ya zamani iliimba wimbo wa PESA na albam yao ikiitwa hvo hivo PESA, na kasha lake lilikuwa na picha ya noti ya 500 ya zamani kama inavyoonekana hapo chini

Naombeni sana msaada wakuu!!!View attachment 1209912
Mimi ninao mkuu, karibu
 
Naitafuta sana hii albamu nyimbo zingine kama
Jipe moyo
Majaribu
Yesu katika kisima kile
Da zingine nyingi nilikua mtoto
Mkuu ukifanikiwa kuupata nitag taradhali
 
Heshima kwenu wakuu.

Kwa muda mrefu Sasa nimekuwa nikitafuta huu wimbo au hata jina la kwaya hi ya zamani iliimba wimbo wa PESA na albam yao ikiitwa hvo hivo PESA, na kasha lake lilikuwa na picha ya noti ya 500 ya zamani kama inavyoonekana hapo chini

Naombeni sana msaada wakuu!!!View attachment 1209912
Kama tuko wote! Naitafuta sana nyimbo za hii kwaya
 
Back
Top Bottom