Deeper than rap | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Deeper than rap

Discussion in 'Entertainment' started by Keynez, Jan 5, 2010.

 1. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Baada ya kuweka misitari mbalimbali ya Nas kuwaacha wadau waseme kama yalikuwa ni utabiri ama ni coincidence tu (nilipata contribution ya watu 2 tu), nitaweka pieces zaidi pamoja hapa zitakazowahusisha watu kama KRS-One, Kanye West, Jay-Z na 50 Cent, ingawa nitaacha kila mtu afanye conclusion yake. Kama una cha kushare, please do.....


  The Prophecy of Nasir Jones - 'Whenever frustrated I'ma hijack Delta'
   
 2. Y

  YE JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mazee...utabiri wapi? Kwani Delta ilikuwa hijacked? au ni mimi sikuelewi?
   
 3. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,857
  Likes Received: 20,893
  Trophy Points: 280
  911 NAS aliyozungumzia ni PORSCHE 911 TURBO, V12 ENGINE, sitting on CHROME(wheels)
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  50 hana chochote cha kutuambia,
  weka nasaha za mzee mzima Rakim, Gangstar Guru, Rza na watu wenye mawazo ya maana.
   
 5. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2010
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,280
  Likes Received: 4,283
  Trophy Points: 280
  Hiyo title ya thread mbona sijaelewa, Deeper than Rap ni album ya Rick Ross
   
 6. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Muweke pembeni Rick Ross kwa sasa......kama Common alivyosema, one day it will all make sense.
   
 7. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Hahah, Nadhani nina theory moja inayomuhusisha 50 nitaidrop hapa. Najua nitakuja kuwa ridiculed, but at least itakuwa entertaining.....
   
 8. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Disclaimer:

  Maelezo nitakayokuja kuweka hapa ni kwa ajili tu ya kujifurahisha na vilevile kupanua mawazo. Sina nia ya kumuhusisha yoyote na uhalifu au ugaidi. Soma kwa uamuzi wako mwenyewe. Mimi ni fan mkubwa wa hawa wasanii, ninasikiliza na kununua kazi zao strictly kwa ajili ya entertainment. I hope kwamba discussion yoyote itakayotokea kutokana na maelezo yangu itazingatia hilo!

  I had to get that out of the way. Hip Hop fans, here we go....
   
 9. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  June/July 2001 Jay-Z aliperform katika summer jam ambapo alitoa hii verse:

  The takeover, the break's over nigga
  God MC, me, Jay-Hova
  Hey lil' soldier you ain't ready for war
  R.O.C. too strong for y'all
  It's like bringin a knife to a gunfight, pen to a test
  Your chest in the line of fire witcha thin-ass vest
  You bringin them Boyz II Men, HOW them boys gon' win?
  This is grown man B.I., get you rolled into triage
  Beatch - your reach ain't long enough, dunny
  Your peeps ain't strong enough, fucka
  Roc-A-Fella is the army, better yet the navy
  Niggaz'll kidnap your babies, spit at your lady
  We bring - knife to fistfight, kill your drama
  Uh, we kill you motherfuckin ants with a sledgehammer
  Don't let me do it to you dunny cause I overdo it
  So you won't confuse it with just rap music


  Unajua Malcom X aliwahi kusema, toka wakati wa utumwa, black artists (mostly conscious, na labda siyo sell-outs), siku zote wanaweka message fulani ya uhuru (freedom) ndani ya nyimbo zao, na ni wachache wanaojua hasa kinachozungumzwa. South Africa walitumia mbinu hiyo wakati wa apartheid, wasanii walitunga na kuimba nyimbo ambazo ziliappear hata kwa wazungu, lakini ndani yake kulikuwa na message ya freedom ambayo wazungu, na nadhani hata baadhi ya weusi hawakuwa wanatambua. Hiyo imenifanya niwe najiuliza maswali ninaposikiliza muziki, hasa wa hip hop, na mara nyingine hata kuangalia connection kati ya matukio mbalimbali.

  Ndiyo maana niliposikia mwimbo wa Alicia Keys wa 'No One' niliuchukulia zaidi ya kama mwimbo wa mapenzi, especially ukizingatia wakati ambapo mwimbo ulipokuwa released, na alipofanya remixes na kama wanamuziki wa reggae, ndiyo zaidi nikaona nilichokuwa nafikiria kina make sense......AU, mtu kama Royce da 5'9 alipojifananisha na Malcolm X, na kujiuliza kama kuna connection kati ya jina lake na kwenda kwa Malcolm X Africa mwaka 1959....AU, Video director anayekwenda kwa jina la Little X, kama kuna maana yoyote katika jina lake kwa sababu Malcolm X alikuwa anaitwa Malcolm Little kabla hajabadili jina la mwisho.....AU, kama umeona movie ya 'Hustle and Flow', karibu na mwisho wa movie, wakati character wa Terrence Howard anatoka jela, security guards wanaspit some lines kujaribu kumuimpress Terrence baada ya kujua yeye ni rapper, then anakuja mtu kama Rick Ross (nitairudia hii movie baadaye)........vitu vidogo kama hivyo. Tupo pamoja?
   
 10. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  KRS-One, anayejulikana vilevile kama 'The Teacha' alirelease album inayoitwa 'Ghetto Music: The Blueprint of Hip Hop'. mwaka 1989, halafu akaja kurelease album nyingine inayoitwa 'The Sneak Attack' mwezi April, 2001. Kama wengi mnavyojua, Jay-Z alikuja kurelease album yake ya Blueprint September 11, 2001 (official release date nadhani ilikuwa siku kadhaa kabla lakini 'kwa sababu ya leak' ikawahishwa). Kuna wanaosema Jay-Z alichukua title hiyo kutoka kwa KRS-One lakini hiyo nitaachia hapo.

  Tukirudi kwenye hiyo verse ya Jay-Z, nikisikiliza hiyo verse (futuristic rap kama Jay-Z alivyoita muziki wake kwenye 'Can I Get A....') mimi nafikiria wanajeshi wale wa marekani waliopo Afghanistan au Iraq, 18, 19 year olds, wanapigana na majihadi.....ok, ilikuwa a Hip Hop battle, Jay-Z, Mobb Deep na Nas.....lakini what if it's deeper that rap?
   
 11. Radical

  Radical JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2010
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 374
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  You got tha nigga go blind here man!

  Personally can't quite say it was a coincidence, but what I can say is these guys are visionary and that's what rapping is all about.
   
 12. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  KRS-One aka 'The Teacha' baadaye alikuja kushambuliwa na media kwa kusema weusi walishangilia baada ya shambulizi la September 11 na kuongeza kwamba he was speaking for at least 85% ya hip hop fans kwa kusema hivyo.......to me that's interesting, especially kwa kuangalia hayo niliyosema juu.

  Sihitaji kuwakumbusha kilichotokea baada ya September 11, GWB akaamua kuvamia Afghanistan, au kama inavyojulikana, 'The Graveyard for Empires' baada ya Taliban kukataa kumkamata na kumhandle over kwa marekani OBL....politics aside....

  Tukiendelea, kama mnavyojua album hiyo ya Jay-Z ya The Blueprint ndiyo ilimuintroduce rasmi Kanye West kwa mainstream hip hop fans. Kanye West vilevile ndiye aliproduce hiyo track ya 'The Takeover'. Baadaye,
  Kanye West akaanza career rasmi kama rapper/MC, na kurelease albums zenye theme ya uanafunzi, kuanzia na 'The College Dropout' iliyofuatiwa na 'The Late Registration'.....
   
 13. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #13
  Jan 6, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Oooh yeah....kuna wasomi wa harvard wanafanya kazi na mc's hawa....nadhani watu wasiosikiliza Hip Hop wanamiss alot....kuna jamaa wako talented sana, watu wanawa-overlook kwa appearances zao na mambo kama hayo....si unajua stereotypes wanazopewa african americans?
   
 14. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #14
  Jan 6, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Nikiendelea, mwaka 2007, Kanye West na 50 Cent wakaamua kurelease albums zao siku moja, kwenye anniversary ya september 11. Kanye West akiendelea kwenye theme zake za uanafunzi kwa kutoa album ya 'Graduation' huku 50 Cent akibadilisha jina la album kutoka 'Before I Self Destruct' na kuipa jina la 'Curtis'. By the way, hivi kuna marketing benefit gani kurelease album september 11? Hiyo siyo sikukuu, siyo kwamba watu wanafanya shopping sana siku hiyo kwa hiyo utataka kucapitalize....something to think about.

  Wakati unatafakari hayo, jaribu kuangalia maana ya Taliban.
   
 15. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Radical, are u hooked with what I got going on here?
   
 16. Radical

  Radical JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2010
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 374
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Yep man, though I love hip hop and listen to it a lot I believe hip hop is more than individual rappers.

  Mzee you seem to read between the lines, do that ili utujuze wanao. Itz good stuff man!
   
 17. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80

  I think me and you can understand each other, you have a sense of what is happening behind the scene zaidi tu ya rapper going in the booth and spit some 16.

  I hope u have a stomach for this, shit is getting deeper.

  By the way, I've been following these things for the last few years, kwa hiyo when events happen or I hear a new song, I just remember what I thought/heard/watched before and I connect the dots, it's one way of me keeping my brain busy.

  Nitadrop some few more stuff.
   
 18. h

  housta Senior Member

  #18
  Jan 8, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Keynez,

  Word up bruv,

  I have been following your posts,...interesting and good stuff!I have also been watching some controversial documentaries about hip hop,...The truth about hip hip etc!Am just curious though!Everything seems to be linked in this business with the Poli-religion world!Am not trying to sound controversial BUT it is worth trying to find/research more on these issues!Try to visit this site as well for people with open minds..www.whatreallyhappened.com.It is a bit political but it makes sense.Youtube the documentary as well!

  Have you ever thought of this 'Rain man' Jay Z is referring to?It is getting interesting!

  Word!
   
 19. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Nikianzia na movie ya 'Hustle and Flow', nilishagusia kuhusu scene ya mwisho ambapo security guards wakati wanamrelease Terrence Howard, wanadai na wao ni aspiring rappers, wanajiita 5-0. Ok, 5-0 ni kama nickname ya polisi, lakini unaona something interesting here, given the whole Rick Ross and 50 Cent drama? Kama unakumbuka Murder Inc walikuwa wanamuita 50 Cent 5-0 baada ya kuchukua order of protection against them, na hiyo ilikuwa around 2003/2004! Na kwa Rick Ross kuiita album yake 'Deeper Than Rap', wengi wanaichukulia tu kama some street issues au tu ni title, lakini mimi nadhani uangalie post niliyoweka ya 'Grand Finale' kwenye ile thread ya Nas.

  Another interesting scene baada ya hii scene ya mwisho kuattract attention yangu ni pale Terrence Howard alipokuwa na Ludacris kwenye club scene na wakawa wanaongelea civilization/city destroyed....utaona consistency kwenye post zingine zinazokuja.
   
 20. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  What's up man. Definetly nitaicheki hiyo documentary. Sidhani kama hiyo ya Jay-Z imeshawahi kunigusa. Najua kuna movie ya Tom Cruise yenye title hiyo, na nadhani Eminem aliwahi kucopy something out of it recently, other than that I've no clue.
   
Loading...