Mara ya kwanza kufika katika jiji la Seoul nchini Korea kusini nikapotea na kupotea

Gwangzu

JF-Expert Member
Dec 21, 2017
2,460
3,818
60b885c8bdd47ebd2793c87a245fc5ad.jpg
nilienda kufata biashara nchini korea kusini maana mizigo yangu huwa nachukuliaga japani sasa nikaona niende nchini korea kusini maana watu wanapasifu sana sasa NILIVYO tinga tu uwanja wa ndege balaaaa mara kajisogeza binti ananiongelesha ki gojoseon mtu nikakaa kimya baadae kidogo akatoa simu kumbe alikuwa anataka tupige nae picha.
Akaondoka sijakaa vizuri mtu mwingine tena akaja akafyotoa picha
2b2d58b8a2a32dd5ce05d81cd48c63d7.jpg
kuna mtu alikuwa anakuja kuniijia Airports sasa kumbe mtu amekuja akanikosa watu wakaendelea kufyotoa maserfie tuu yahatarii sahizi nimetoka kituo cha police maana nilipotea ikabidi wampigie simu yule mwenyeji wangu aje
7ce2de5431d308cae6020f57f86e7b9b.jpg
 
hao watu utakuta hawajawahi kuona mtu mweusi katika maisha yao yote.
Yaani sasa tulivyofika ijumaa nikamuuliza jamaayangu hivi huku kuna masjidi maana nilisikia Tanzania wanasema hakunaga dini ya aina yoyote ike maana yule jamaayangu ameishi huko miaka miwili akanipeleka
456eae381ae7af0eea5e46f4d5dcfa0e.jpg
kumbe dini zipo huwa tunaambiwa uongo mara ooooh huko hakunaga dini
 
mkuu, hao watu walikuwa hawajawahi kumuona mtu mweusi live, ulikuwa kivutio kwa hiyo siku, nilipata wakati mgumu sana na mijamaa haina aibu wanakusema hapo hapo, ila kwa lugha yao afu inacheka...rafiki yangu Mr. Chow ambaye hakupenda alikuja kuniambia baadae tulivyorud tz, nilikasirika sana, kama siyo sababu za kibiashara ningekata nao mazoea
 
mkuu, hao watu walikuwa hawajawahi kumuona mtu mweusi live, ulikuwa kivutio kwa hiyo siku, nilipata wakati mgumu sana na mijamaa haina aibu wanakusema hapo hapo, ila kwa lugha yao afu inacheka...rafiki yangu Mr. Chow ambaye hakupenda alikuja kuniambia baadae tulivyorud tz, nilikasirika sana, kama siyo sababu za kibiashara ningekata nao mazoea
Duh Mr. Chow alikuja akataka tufanye biashara Fulani ya Mazao, ndio yeye?? Au ni majina tu?
 
Huko wanafunzi wanasoma mpaka 4 usiku.elimu wameiweka kipaombele mno.kuna documentary niliiona walifanya student exchange.wanafunzi Wa Uk wakaenda huko wakaenda darasani siku ya kwanza walisinzia ( sec.school) kutoka halo kuna Tuition kuna mtaa maarufu wote ni Tuition tupu mpaka 6 usiku.wa Uk wakapeleka test zao ambazo wanazifanya mtihani Wa taifa Wa sec.unafanya sijui 2 hours saa sikumbuki vizuri.wao walimaliza for 15 minutes.na wakasema wao walijufunza primary darasa labda la 2.na teens wanaongoza kwa kujiua
 
Back
Top Bottom