Umejua kunichekeshaSina voice clip wala sifahamu lyrics za hii boringo na sifahamu msanii ni nani lakin najua vimaneno baadhi na sidhan kama sahihi inasema” kote mapesa yao...., wapeee mapesaaa haoo !eeeh ! Eeeh eee! Kote mapesa yao ....lakei lakei muyumba naneso ...” Naomba aliepata melody hyo anisaidie jina la msanii