Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 969
- 844
Wadau mambo Vipi?
Nawasalimu wote na Poleni kwa Pilika za hapa na pale za kuusaka utamu wa Ugali na maisha Ahueni. Imekua kitambo sana tangu niondoke hapa Jf (Kiukweli nilipakumbuka Jf).
Leo nimepanda hapa Jukwaani ili kuwaletea tena ile Blog Yenu Pendwa ZILIPENDWA ambapo Blog hii Niliwahi kuitambulisha kwenu siku za nyuma lakini kutokana na mimi Kuwa Busy na mambo mengine nilishindwa kuiendeleza hivyo nikaamua kuipoteza kwa Muda.
ZILIPENDWA ni site Ambayo inahusika na Ngoma zote kali zilizo wahi kuwika miaka ya Nyuma Enzi za Muziki ukiitwa Muziki. Wale wadau wa Muziki huu tukutane kule ZILIPENDWA ambapo utaweza Pakua nyimbo kali kutoka kwa Kundi lako ama msanii wako uliye wahi mkubali kama Vile Msondo,DDC Mlimani, Tabora Jazz, Maquis Original, Less Wanyika nk.
tumia Link ifuatayo kuifikia site Hiyo >>>ZILIPENDWA