Natafuta nyimbo za mtumishi Anthony Lusekelo

Natafuta nyimbo za mtumishi Anthony Lusekelo

G'taxi

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
6,651
Reaction score
8,699
Ukiangalia katika semina zake huyu mtumishi hua kuna tunyimbo tuzuri sana anatuimba twa kipekee, kama ''KWA IMANI TUTASHINDA'' ..''OHH SAYUNI SAYUNI'' N.K

Kama kuna mwenye hutu tunyimbo tuzuri anisaidie hapa tafadhari
 
Ukiangalia ktk semina zake huyu mtumishi hua kuna tunyimbo tuzuri sana anatuimba twa kipekee,kama ''KWA IMANI TUTASHINDA'' ..''OHH SAYUNI SAYUNI'' N.K kama kuna mwenye hutu tunyimbo tuzuri anisaidie hapa tafadhari
Mkuu hata mm nazitafuta kwel kweli
 
Nimezitafuta mpaka nimechoka, ngoja tuone kama tutasaidika hapa.

"Naendeleaaaa, naendeleeaaaa.... Tangu nimwamini bwana Yesu naendeleeeeeaaaa."
 
Me natafuta video zake zile zinazoonyesha waumini wake Wapendwa wanamtunza pesa wakiguswa na neno huwa napata Shida kuelewa pesa za kutunzwa mkononi ka desturi kazuri tukianzisha hata kwwnye vikao vya ngazi ya familia anayeongea point apewe pesa .

Lusekelo nampenda Sana mafundisho yake hasa ya vitendo [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Mh'ola nkoyi,olehe'obhe?
Mkuu ulifanikiwa kuzipata kama ulifanikiwa nitumie, maana nilienda kanisani kwake nikanunua CD mbili za nyimbo zake watu wakawa wanaazima hawarudishi sasa sina hata moja na nimekosa mtu wa kumtuma maana niko mbali na dar
 
Aisee sijawahi kupata hata kidogo hizo nyimbo bwana...
 
Back
Top Bottom