haahahhhahahhhahahhahhahhahhahhahhahhahhhahhahhahahahahhaHii ni moja kati ya nyimbo zake mbovu, hakuna ubunifu wowote katika wimbo huu. Na alivyo na mashabiki maandazi wote wanamsifia kuwa katoa bonge la hit.
Je unasemaje kuhusu 'UNO' ? ukilinganisha na BABA LAO?Sijamuelewa alichoimba, hapo nimeambulia 0.
Sijamuelewa alichoimba, hapo nimeambulia 0.
Je unasemaje kuhusu 'UNO' ? ukilinganisha na BABA LAO?
Director wa Video kaitendea haki, japo imetolewa kuififisha UNO
Katoe ya kwako yenye ubunifu sasa unalialia nini humu.Hii ni moja kati ya nyimbo zake mbovu, hakuna ubunifu wowote katika wimbo huu. Na alivyo na mashabiki maandazi wote wanamsifia kuwa katoa bonge la hit.
Huu wimbo amekurupuka, acha ubishi.Katoe ya kwako yenye ubunifu sasa unalialia nini humu.
Katoe wa kwako tuujudge tuone Nani kakurupuka.Huu wimbo amekurupuka, acha ubishi.
Umesoma vizuri nilichoandika?Katoe wa kwako tuujudge tuone Nani kakurupuka.
Kama siku zako zinazohesabika.Mm binafsi sijaielewa hii nyimbo ni ya taarabu.,singeli.,baikoko au mnanda?!...yani pamoja na kuiba nyimbo ya mtu bado unatoa nyimbo mbovu..kweli cku za domo zinahesabika
#R.I.Pdomo