nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,034
- 900
XXL ni kipindi kinachorushwa na Clouds Fm kuanzia saa saba mchana hadi saa kumi, leo wameingia na msemo wao "Inaanza kitchen party, ikifuatiwa na harusi" mwenye kufahamu maana ya huo msemo naomba tafsiri.