Baba lao (Diamond Platnumz) vs Mshumaa (Ali Kiba)

Hizo nyimbo huwezi fananisha, huyu kaimba kujisifu mwingine kaimba kummiss mpenzi wake. Acheni ushabiki maandazi nyimbo zote mbili nzuri tena sana.

Kwani haiwezekani wote kuwa juu au lazima mmoja ashushwe?
 
Yah upo sahihi.
 
Back
Top Bottom