Umshini wami/Awuleth' Umshini Wami" ( Bring My Machine)

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,474
8,692
Nimeukumbuka huo wimbo wa Wazulu walati wanapambana na Makubulu kule South Africa.

Ni wimbo mzuri sana huo wa kupambana na Makabulu mambo leo.
 
Ambao hatuhujui tutaujuaje kama ni mzur au mbaya?

Uweke bass tusikilize wote by ze way ulitaka kumaanisha nin?

Cc Baba Swalehe
 
Umshini wami😀😀😀 Zuma alikuwa akipenda sana kuuimba,weka bunduki ya AK 47 tuione
Nalog off
 
Unalala SAA 1kuogopa vibaka ,hujui hata kutumia kisu hiyo ak 47 utaiweza vipi raia mkubwa wewe

State agent
 
Punguza hasira ndugu yangu,mnachokitafuta mtakipata tu.

Bila shaka mnajua vita ni vita na haina macho,labda kama wewe na familia yako mtatoroka na bombadia.
Unalala SAA 1kuogopa vibaka ,hujui hata kutumia kisu hiyo ak 47 utaiweza vipi raia mkubwa wewe

State agent
 
Ukisikia bom tu unalala uvunguni na mkeo vipi yakukute

State agent
Punguza hasira ndugu yangu,mnachokitafuta mtakipata tu.

Bila shaka mnajua vita ni vita na haina macho,labda kama wewe na familia yako mtatoroka na bombadia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom