Muda ndio msemaji wa kweli (kutoka maktaba)

Muda ndio msemaji wa kweli (kutoka maktaba)

eshii 35

Senior Member
Joined
Oct 22, 2018
Posts
156
Reaction score
174
Habarin wakuu..
baada Ya kusikiliza wimbo mpYa wa stamina-asiwaze nikasema kweli muda ndio kila kitu
Refer miaka Ya nyuma "stamina" ashawai chana mistat hii katka moja Ya nyimbo zake
"Ndoa ngum na Mke mwema sijapatiwa..Japo mke wa mtu sumu ila gheto nina maziwa" ilikua 2011(nipo tayar kusahihishwa kwa ili)

Basi siku zkaend stamina akakua mara ghafla pah kaingia kwnY Ndoa mwaka mmoja tu kwnY wimbo wake analalama..
"Mwambien Yule dogo wa simba kutembea na mke wng asijione km kashinda"

tujifunze kitu hapa..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom