Musical orgasims

Musical orgasims

decomm

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
726
Reaction score
666
Salaam.

Moja kwa moja kwenye mada:-

... Pale mziki unapokukolea kisawasawa na kujisikia furaha ama huzuni iliyopitiliza...

Unafurahia bila kushurutishwa...
Unahuzunika bila kulazimishwa...
Unapiga makofi ama kunyanyua mkono (mikono) juu bila kupelekeshwa na msemaji ama muimbaji...

Unapiga kelele bila kuambiwa kufanya hivyo...

Feeling like popping, jamming rhyming etc

Natamani ifike siku hapa Bongo wanamuziki, waimbaji wetu husasani wa kizazi kipya wawafikishe washabiki wao 'climax' ya furaha wakati wakitumbuiza mubashara bila kuwalazimisha.



decomm!
 
Published on Dec 31, 2019.

"We are happy to share with all of you our final Song Around The World of 2019. Bob Marley once said “One good thing about music, when it hits you feel no pain...” Another good thing about music is that it touches our souls and lifts up our spirits. Connecting people is one thing, but connecting souls is a whole other level. Turn it up and enjoy *Bunny Wailer, Manu Chao and Bushman* singing the Wailer’s classic, “Soul Rebel,” along with musicians from around the world.




decomm!
 
Back
Top Bottom