guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,755
Ningependa kuandaa season yangu ya kiswahili yenye episodes kama kumi hivi. Sasa, je ni yapi mahitaji muhimu kuwa nayo ili kuweza kutengeneza bidhaa hii?
Kwa wale ambao mpo kwenye tasnia hii mnaweza nipa ushauri, maoni na angalizo. Ningependa kufanya project hii for fun.
Natanguliza shukrani.
Kwa wale ambao mpo kwenye tasnia hii mnaweza nipa ushauri, maoni na angalizo. Ningependa kufanya project hii for fun.
Natanguliza shukrani.