Naombeni kujua jina la huu wimbo

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Messages
1,699
Points
1,500

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2009
1,699 1,500
Kuna wimbo mmoja wa dansi wa miaka ya 2000 kutoka kwa moja ya bendi za hapa hapa nchini. Naweka chini baadhi ya maneno maarufu yaliyomo katika wimbo huo ili mnisaidie kuujua jina ili niupate.

Ndani una majigambo ya kujibizana kama hivi:

Mtu no 1: Usiku nilisikia shemeji analia
Mtu no 2: Ahaa pale nilishamchapa
Mtu no 1: Kwanini?
Mtu no 2: Aliingiza mwenyewe akashindwa kutoa
Mtu no 1: Nini?
Mtu no 2: Mkanda wa video kwenye deki
kiitikio yalahaaaa!

Hapo juu ni moja ya maneno yaliyokuwa maarufu wakati huo kutoka kwenye huo wimbo.

Asante!
 
financial services

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Messages
4,267
Points
2,000

financial services

JF-Expert Member
Joined May 17, 2017
4,267 2,000

Idimi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2007
Messages
12,117
Points
2,000

Idimi

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2007
12,117 2,000
Huo ni wimbo wa Tanzania One Theatre (TOT) enzi za akina Abdul Misambano, Leyla Rashid na Banza. Wimbo unaitwa Sweet baby. Nadhani upo youtube. Ukiukosa basi utafute humu JF. Kuna thread moja hivi nimeuweka
Kuna wimbo mmoja wa dansi wa miaka ya 2000 kutoka kwa moja ya bendi za hapa hapa nchini. Naweka chini baadhi ya maneno maarufu yaliyomo katika wimbo huo ili mnisaidie kuujua jina ili niupate.

Ndani una majigambo ya kujibizana kama hivi:

Mtu no 1: Usiku nilisikia shemeji analia
Mtu no 2: Ahaa pale nilishamchapa
Mtu no 1: Kwanini?
Mtu no 2: Aliingiza mwenyewe akashindwa kutoa
Mtu no 1: Nini?
Mtu no 2: Mkanda wa video kwenye deki
kiitikio yalahaaaa!

Hapo juu ni moja ya maneno yaliyokuwa maarufu wakati huo kutoka kwenye huo wimbo.

Asante!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,381,425
Members 526,090
Posts 33,799,818
Top