Tamthilia fupi: Hamida

Johnny Sins

JF-Expert Member
Nov 4, 2019
2,538
3,826
TAMTHILIA FUPI: HAMIDA
MTUNZI: FRANK TITUS KAPINGA.

NJE YA JENGO LA UJENZI:
Fundi Maiko na mafundi wengine walikuwa bize na ujenzi wa nyumba. Licha ya kuwa bize; stori zilipamba moto vijana wakimsema Fundi maiko kwamba hajui kutongoza;

DULA: Fundi domo zege! Yaani sisi wote tuna madem kasoro Maiko tu.
SIDE: Anatutia aibu! Jina kubwa mtaani lakini hajiwezi.
BULA: Usikute kitu kiligonga kitovuni.

(Vijana wanacheka kwa nguvu)

FUNDI MAIKO: Madem madem! Madem watanisaidia nini? Mimi natafuta pesa. Kwanza sijawahi ona raha ya kuwa na mwanamke. Ni kujipotezea malengo tu! Wanawake gani vivuruge, wanavuruga maendeleo. Mimi nasemaje; Napambana nasaka pesa, sitaki mpenzi wala mtazamaji. Na sito oa!
DULA: Fundi fundi! Unaongea tu, hivi umewahi kukutana na maufundi ya chumbani wewe? utasahau hadi wazazi wako.
FUNDI MAIKO: Ebu niondolee uchuro. Niwasahau wazazi kisa machangudoa wa kike? si Wenda wazimu huo!

Stori zikiwa zimepamba moto mara alipita binti murembo, mtoto na ushungi wake, Hamida! Vijana wote waligeuza macho wakimtazama, ni fundi Maiko pekee ndiye alijidai kiburi; yeye alikuwa bize na ujenzi.
Hamida alisimama, alitabasam akiwatazama mafundi, vijana waliweweseka, kila mmoja alitamani aitwe na Hamida.

HAMIDA: Fundi Maiko nakuomba tafadhari!

Kila mtu alishangaa, Fundi Maiko! Tangu lini Maiko aitwe na mrembo mtamu kama Hamida? Eh! Uchawi upo! Tena uchawi wa wazi wazi. Nyie dunia ina dhambi, dunia haina huruma; Eti Maiko, domo zege wa kimataifa kaitwa na mrembo! Hata Maiko mwenyewe hakuamini, aligeuka akimtazama Hamida, alitulia akisikilizia kama aliye itwa ni yeye.

HAMIDA: Fundi jamani si nimekuita!

Hapo sasa fundi aliamini kuwa aliitwa yeye. Taratibu alipiga hatua akimfuata Hamida, nyuma alicha minong'ono ya vijana wakidai Fundi maiko ni mchawi, sio bure! karoga.

FUNDI MAIKO: Vipi dada?
HAMIDA: Samahani fundi, ukuta wa nyumba yangu kuna kijisehemu kina hitilafu; naomba twende ukarekebishe.
FUNDI MAIKO: Sawa.

Fasta bila kupoteza muda, fundi alichukua vifaa vya kazi; yeye na Hamida walielekea nyumbani kwa Hamida.

NYUMBANI KWA HAMIDA:
Baada ya kufika, Fundi alionyeshwa sehemu ya kuziba ufa ambayo ni ndani ya chumba cha Hamida. Bila kupoteza muda; fundi alianza kazi yake, Hamida akiwa bize akitandika kitanda. Kila mmoja alipambana na shughuli yake.
Kuna muda fundi aligeuka ili amtazame Hamida, hapo ndipo alipo kosea! Alimshuhudia Hamida kainama, kule nyuma kulibanjuka juu! Mtoto kishundu hicho, fundi alimeza mate ya aina zote. Mate ya tamaa, mateso, uchungu, hasira, mawazo na uchu! Pasipo kutarajia; fundi alijikuta anaachia vifaa vya kazi, vikadondoka.

Hamida alishtuka baada kusikia vitu vikigonga chini, aligeuka nyuma alikutana na macho ya fundi yakimtazama! Kitu cha kushangaza na kushtusha, Hamida ile kutazama katikati ya suruali ya fundi Maiko; aliahtuka! Zipu ilinyanyuliwa juu, hapo sasa hata Hamida aliweweseka! Viungo viliamka, alishindwa kuvumilia;

HAMIDA: Fundi
FUNDI MAIKO: Naam dadaangu!
HAMIDA: Ebu njoo! ...njooo.... Njoooo.. Nishike hapa!

Fumba na kufumbua walikuwa juu ya godoro, kuna mchezo ulikuwa ukiendelea, alafu katika huo mchezo; Fundi maiko ndiye alionekana kuelemewa sana. Kuna muda waligeuzana; Fundi alilala chini, Hamida alikuwa kwa juu akiendesha gari yake! Hamida alizungusha kushoto, alipeleka kulia, alinyosha kati, alibinya breki; Fundi hoii bin taaban kamusoko! fundi alitoa vilio vyote! Fundi aliimba nyimbo zote, kasuku akasome!

FUNDI MAIKO: Hamidaa..hamidaa... Hamidaa mweeh.. Wee hamidaaa!

Baada ya raundi za kutosha; fundi alilala pembeni, alikuwa ajielewi, alipumulia mdomo. Akiwa pale kitandani akasikia;

HAMIDA: Haya inuka nikuogeshe!
FUNDI MAIKO: Uniogeshe?
HAMIDA: Sio kukuogesha tu, nitakubeba na kukunyonyesha!

Fasta fundi aliwekwa kwenye dishi, alishikwa kila sehemu, alisuguliwa kila eneo, fundi alisuuzwa akasuuzika! alikandwa viungo vyote, ilikuwa ni zaidi ya maufundi. Baada ya kuogeshwa alipagatwa katika mapaja ya mtoto mzuri, alifutwa maji kisha alipewa anyonye.

HAMIDA: Haya nyonya sasa!

Fundi alitulia kama kachanga, mdomo ulifanya manuva, alihisi yuko pepo la mahaba huko jehanam! Fundi alivurugika;

FUNDI MAIKO: Hamida.. Million 4 zangu za ujenzi zote nakupa wewe... Nitakujengea nyumba mpyaa, sina gari ila lazima nikununulie, niruhusu nikuoe hata leo!
HAMIDA: Sawa, anza na hizo pesa; nipe.

Fundi aliinuka, aliifuata suruali yake; alitoa kibunda cha pesa alimkabidhi Hamida.

HAMIDA: Asante mume wangu, wewe pumzika hapa kitandani; Mimi natoka kidogo, nitarudi baadae.
FUNDI MAIKO: Sawa mke wangu (aliongea akipanda kitandani)

Hamida aliondoka na Mapesa yake, sijui alielekea wapi. Fundi alipitiwa na usingizi.
Usiku mida ya saa mbili; simu ya fundi iliita, alipokea;

FUNDI MAIKO: Halo nani?
HAMIDA: Ni Mimi Hamida. Nilitaka kukuambia kuwa; ondoka kwenye hicho chumba, sio changu, ni cha wajeda ambao wapo njiani wanakuja hapo. Wakikukuta, umefariki.
FUNDI MAIKO: (Akiinuka toka kitandani) Eh! wajeda? mbona sielewi! Kwahiyo?
HAMIDA: Kwahiyo nini? Ondoka haraka.. Tusijuane wala tusitafutane, sikutaki.
FUNDI: Ninii? halloo.....halloo!

Simu ilikatwa kitambo. Hapo sasa fundi alipagawa, yeye na boksa yake alitoka nje akiwa amechanganyikiwa, alianza kupiga kelele za vilio, watu walijaa wakimzunguka fundi ambaye alilala chini akigalagala kwenye tope kama kambale;

FUNDI MAIKO: Hamidaa! Hamida kaniachaa... Hamida kaniacha..

MWISHO.

PREPARED BY FRANK TITUS MANSHYNE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnamsingizia hamida hakuwahi kuwa mwanamke wa kulika kirahisi!!,hakuwa mpenda hela!
Ila uzuri wake uliwatesa wengi,midomo yake ilitosha kuwa siraha imtiayo rijali ktk dimbwi la huba! Uzuri wa sauti yake uliwasimamisha vishipa wale wote waliolegea!.
Umbo lake maridadi lilitosha kutia kihoro pasipo hata kutumia nguvu kubwa,Ni yeye aliepita na kufanya vilembwe na vilembwekeze vimtazame kwa jicho pevu lililojaa husuda ya kuudurufu mwili wake na hata kuumung'unya!!

Hamida si mwanamke wa kujidai Wala kujiremba ktk miondoko ya kisasa!
Hakuwahi kuwa mwenye hulka ya kulala na kila mwenye sauti kubwa!
Licha ya kuwa ulimbwende wake uliwahusudu wazee na vijana,bado hakuwa mtu wa majivuno!.

Hamida ni mwanamke mwenye utimamu na utamu wake!,wengi walivyomdhania haikuwa sahihi..
Ni vile wengine hawakuamini kuwa hamida bado nyeti zake hazikuwahi kudukuliwa hata kwa chembe ya kibamia!
Wengi iliwapata hamaki ya kutaka kuwa wakwanza kuuzindua kizingiti kilicho zingiti uzuri,utamu na ufahali wa mwanamke hamida!!

Loading...
 
Back
Top Bottom