Wakala wa majini
Senior Member
- Jan 19, 2020
- 139
- 137
Habari zenu wana jf.Mie hapa nina swali.Hivi,fasihi inaelekezaje jamii.Nime uliza hili swali katika forum hii,kwa sababu ya kazi za kifasihi nilizo wahi kuzipitia katika forum hii,kama,Namchukia mama yangu,Na Laana za maiti,hivyo natumai wapo wajuvi wa fasihi wenye jibu la swali langu.Mimi binafsi napania kuwa muandishi bingwa Wa kimataifa.Nina imani nitaleta mchango mkubwa katika sanaa hii ya fasihi andishi kote Afrika Mashariki,na kukitangaza kiswahili kote kwa kazi zangu.Naombeni michango yenu wakuu.wekeni lulu zenu za ilimu.Nyote mnakaribishwa.