CHOMBEZO: Laini kama unanawa vile

CHOMBEZO: Laini kama unanawa vile

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,746
Reaction score
25,638
MTUNZI: ALLY MBETU
0713646500

Toka nimefika kwa mshikaji wangu Sammy ambaye tulisoma shule moja, baada ya kuandamwa na matatizo yaliyosababishwa na watoto wa kike kiasi kuwa nuksi kila nilipokwenda. Baada ya kuponea tundu la shindano nilipotaka kuchomwa moto kwa ajili ya mke wa mtu na kuamua kwenda kwa rafiki yangu Sammy kupumzika, ambaye naye nilimkuta moto chini kwa mademu. Sikutaka tena kushughulika na masuala ya wanawake nami nilikuwa mlokole flani.

Lakini nilipofika kwa rafiki yangu Sammy nilikuta msichana mmoja akiwasumbua sana. Lazima nimpe sifa zake nimekutana na wanawake wengi lakini Enjo au binti mlokole alikuwa tishio kwa uzuri. Enjo pamoja na umbile tata alikuwa na sifa mmoja ya ucheshi, alionekana kushika sana dini kufikia hatua ya kuitwa binti mlokole.

Toka nimefika pale sikuwahi kumuona na mwanaume zaidi ya kila aliyemtokea kugonga mwamba akiwemo mshikaji wangu Sammy ambaye naye alikuwa na sifa ya kuvunja moyo mgumu wa kila kwanamke lakini pale alidunda.

Binti huyu pamoja na kuwa na umbile tata bado hakuwa na dharau alimchangamkia kila mmoja na wengi kuwaamini ni maharage ya Mbeya. Kila mtu aliyemtamkia neno ya mapenzi alimjibu "Ashindwe na alegee kwa jina la Yesu".

Kama nilivyosema mwanzo safari yangu ya mapenzi ilijaa balaa ya kukosa kuuawa hivyo nami nilikuwa mmoja wa vijogoo vilivyomtamani lakini sikutaka kuwa mmoja ya watu ambao walitupia ndoano ya kuishia kutoka patupu kwani haikuwa sifa yangu kwani toka nizaliwe sikuwahi kudunda kwa demu. Japokuwa nilikuwa na uhakika wa kumg’oa lakini niliamua kukaa kimya kuwaacha vijana wapimane naye ubavu japo ilionekana kabisa wamechemka.

Kwa vile nilipotoka nilijua mwenyewe na kuuapia moyo wangu kutojihusisha na wanawake niliwatazama tu. Tukiwa nimekaa kijiweni na washikaji zangu jirani na nyumba ya kina Enjo, mara lilisimama gari na mzee Masawe baba yake Enjo na kuteremka wanawe akiwemo Anjo msichana aliyewatesa wanaume wengi pale mtaani.

Baada ya Enjo na wadogo zake kuteremka walielekea ndani kwao kwa vile gari lililowaleta lilikuwa likiendelea na safari. Alitembea kwa mwendo wa taratibu kuingia ndani ya geti huku akiwaacha wadogo zake watangulie mbele. Kwa kweli Mungu alifanya makusudi kwa msichana yule ambaye hakuna aliyeamini kwa urembo wake ule kama kweli hana mpenzi pale mtaani.

“Enjo anautesa mtima wangu,” mshkaji wangu Sammy alisema huku akitikisa kichwa.
“Mzee we si mtaalamu wa totozi umechemka vipi?” nilimuuliza mshikaji wangu kwa kumtania kama sijui kitu.
“Kaka wee acha usimuione vile anachekacheka mgumu ajabu.”
“Mmh! Yule demu anatuyeyusha nasikia kuna mtu anamchukua,” jamaa mwingine aliingiza neno.
“Haiwezekani,” Sammy alibisha.
“Kakaaa yule demu nasikia kuna mtu anatoka naye,” jamaa alisisitiza.
“Hakuna, yule semu inaonekana hamjui mwanaume,” Sammy bado alimtetea Enjo.
“Kama unabisha muulize demu wako Sinta anajua kila kitu, kuna jamaa mmoja huwa anatoka naye lakini kwa siri sana.”
“Sasa mi nimeshindwa wapi?” Sammy alijishangaa mwenyewe kusikia Enjo anatoka na mtu lakini yeye kachemka.
“Labda amenyaka sifa yako ya kubadili mademu kama nguo,” mshkaji mwingine alichangia.
“Ainyake wapi?”
“Rose si shoga yake lazima alimwambia kuwa kiwembe baada ya kutembea na Rose si ndo utakatoka na Sinta lazima alimuuliza tu.”
“Bado sikubali, kama kweli anatoka na mtu lazima na mimi kwa hali na mali nitamvua nguo ya ndani,” Sammy alijigamba.
Muda wote nilikuwa kimya nikiwasikiliza wakali wa kitaa ambao walikuwa wakimtaka msichana hachomoi lakini kwa Enjo walionekana kukata tamaa.
***
Kwangu mimi nilionekana mwoga wa mademu toka nifika kwa Sammy hakuwahi kunisikia nikizungumzia mademu. Chumba cha Sammy kilikuwa na sifa ya kuingiza kila siku wanawake zaidi ya watatu tofauti. Lakini kwangu ilikuwa tofauti toka nilipofika kwake hakuwahi kuniona natongoza wala kuzungumzia habari za wanawake mpaka siku moja aliniuliza.

“Anda mshikaji wangu una matatizo gani?”
“Ya vipi mzee?”
“Toka uje hapa sijakuona unatongoza demu au jogoo awiki?”
“Anawika kama kawaida.”
“Mbona sijawahi kukuona na demu.”
“Ndugu yangu nipo likizo ndefu, sasa hivi wanawake nawaogopa kama ukoma.”
“Unawaogopa kwa nini?”
“Kaka huko nilipotoka mpaka nafika hapa nimetokea tundu la sindano kufa kifo kibaya, ndo maana wanawake sitaki.”
“Anda acha kuzunga kipi kimekutokea?”
“Sammy nimekuja kwako kupumzika nimekosa kuuawa zaidi ya mara tatu kwa Ajili ya wanawake hao, ndo maana wanawake nawaogopa sana.”
“Walikufanya nini?”
“Nitakuelezea, mi nilikuwa zaidi yako hakuna msichana aliyenishinda, hata huyu anayekusumbueni kwangu mbona cha mtoto.”
“Sasa hizo dharau.”
“Sammy, mimi nina tofauti kubwa na ninyi, nikimtaka yule apindui.”
“Unajikosha tu mshkaji wangu unaonekana mwoga kama kunguru kwa watoto wa kike.”
“Sammy hunijui mi ni kikaango cha moto kwa watoto wa kike?”
“Ni kwa hao lakini si kwa Enjo, yule msichana mgumu bwana.”
“Ni kwenu si kwangu sijawahi na sitawahi kumshindwa.”
“Kama kweli we kidume mchukue Enjo.”
“Utanipa nini?”
“Chochote utakachotaka.”
“Basi niachie hiyo kazi, ipo siku utamkuta Enjo humu ndani katika kanga moja.”
“Labda utumie kizizi.”
“Kaka vita mbinu, najua kupigana vita vyote bila kuangalia eneo, kwa Enjo hesabu amekwisha.”
“Haya nieleze ilikuwaje mpaka ukaponea tundu la sindano?” Sammy alitaka kujua mikasa ilinifikisha pale.

Sikuwa na budi kumueleza tokea nilipokoswa na risasi na baba wa rafiki yangu baada ya kumpa ujauzito binti yake ambaye alitaka nimfundishe twisheni na kuingia kichwakichwa nami sikulaza damu kwani mtoto alikuwa akiliapa.

Mchezo wetu tulicheza kwa siri ambao ulimfanya mtoto wa kike kushiba, baada ya kubanwa sana na wazazi wake alinitaja kuwa mimi ndiye muharibifu. Baba yake kwa hasira alinisaka ba bastora kwa kumuharibia mwanaye. Binti alinijulisha mi nikadhania uongo.

Siku moja nikiwa kijiweni mzee alisimamisha gari na kuteremka na bastora mkononi ili anifumue ubongo. Bahati nilikimbia nyuma aliapa lazima atanyogwa kwa ajili yangu. Nikaona imeisha kuwa msala nikatokemea zangu mkoa kwa Brother.

Huko nilipata baada ya muda mfupi nilihama kwa brother na kupanga chumba changu huko nako ndipo kulikonifanya niwachukie wanawake na kuamua kukaa mbali nao. Nakumbuka nilikimbia vimevaa pensi na singland chini ndala, nguo nilinunulia mbele ya safari, baada ya kukoswa kugeuzwa ndafu kwa ajili ya mke wa mtu.

Najua una hamu kujua ilikuwaje tega sikio:
Baada ya kufika kwa kaka na nilikaa muda na kupata kazi, baada ya kuanza kazi iliyonipelekea kupanga nyumba. Nyumba niliyopanga ilikuwa na wapangaji zaidi ya wanne na wote walikuwa na wake, masela tulikuwa wawili. Tatizo likawa lile ile la mke wa mpangaji mwenzangu alikuwa akinifanyia vituko kila nilipokuwa peke yangu.

Kutokana na matatizo niliyokumbana nayo nilijua ule tena ulikuwa mkosi mwingine. Ili kujiepusha kila nilipotoka alfajiri nikienda kazini nilirudi usiku. Niliporudina mara nyingi nilijitahidi kuwa karibu ya mumewe kama kinga. Kumbe kitendo kile kilimuuma sana mke wa jirani yangu. Siku moja nikiwa naingia ndani baada ya mumewe kutangulia kuingia ndani aliniambia.

"Unajifanya mjanja ipo siku," sikumjibu nilicheka tu na kuingia ndani.
Nilishindwa kumwelewa yule mwanamke alikuwa akitafutia nini wakati alikuwa akifahamu mimi na mumewe ni marafiki. Sikumjibu niliendelea na mtindo wangu ule ule wa kuwa karibu na mumewe ili asinitie majaribuni. Nilikuwa nimechoka na kuhamahama kwa ajili ya wanawake.

Kwa mtindo ule niliweza kumdhibiti kila hila zake alizoifanya ikiwemo kukaa mikao ya hasara akiwa mbele yangu. Nilitahidi kumkwepa kitu kilichomuudhi sana. Kumbe kila siku alikuwa akinipigia mahesabu makali kuhakikisha siku moja nauonja mwili wake.

Je nini kitaendelea?
 
SEHEMU YA 02

Nilishukuru Mungu baada ya yule mwanamke kuona mitego yake imeshindwa kuninasa alionesha kukubali yaishe na kurudisha heshima ya ushemeji kama zamani. Mabadiliko ya shemeji yangu yalinipa matumaini na kuona nimeiepuka hatari ya kutembea na mke wa mtu kwa kujua kama ningekamatwa adhabu yake ingekuwa mbaya.

Naikumbuka siku moja ya jumamosi ambayo nilikuwa nafanya kazi nusu siku mpaka saa kumi. Siku hiyo nsiliwahi kurudi nyumbani kwa vile kuna kazi nilitakiwa kuifanya. Majira ya saa kumi na mbili kasoro nilikuwa nimeisharudi nyumbani.

Baada ya kufika nyumbani nilimkuta rafiki yangu naye ameishafika, wakati najiandaa kwenda kuoga rafiki yangu alikuwa ndiyo amepelekewa maji ya kuoga na mkewe. Sikurudi ndani nilikaa uani kusubiri amalize kuoga ili nami nikaoge.

Baada ya kutoka kuoga nami niliingia bafuni kuoga, niliwa katikati ya kuoga, nilisikia nyayo za mtu kuja bafuni. Nilikohoa ili mtu ajue nipo bafuni japokuwa nguo au maji kumwagika yangemjulisha kuna mtu bafuni. Lakini ajabu sauti ya mtu kuingia bafuni iliongezeka.

Nilikohoa tena, lakini vile vile mshindo wa kuingia bafuni havikukoma. Ilibidi nitoe sauti kumjulisha kuwa kuna mtu.
"Usiingie kuna mtu."
Vile vile sauti yangu haikumzuia mtu aliyetaka kuingia bafuni, nilijiuliza ni nani asiyesikia wala kuona kuna mtu bafuni. Nilishangaa kusikia mlango wa bafuni ukifunguliwa na mtu kuingia ndani. Kwa vile nilikuwa na sabuni usoni nilinawa uso haraka ili nifumbue macho. Nilipofumbua macho, mbele yangu alikuwa amesimama mke wa rafiki yangu akiwa na kanga nyepesi bila kitu chochote ndani.

Kabla sijajua nini kinaendelea aliondoa kanga yake na kubakia mtupu, kiunoni akiwa amejaza shehena la shanga za rangi mbalimbali. Umbile lake lilikuwa lina kila kishawishi cha kumshawishi mwanaume yeyote lijalikufanya nae ngono.

"Ha! Shemu vipi hukuniona?" nilimuuliza kwa sauti ya chini.
"Nimekuona sana." alijibu kwa sauti ya kutokea puani huku akinisogelea.
"A..aah! Shemu hebu toka haraka," nilisema kwa sauti kali lakini ya chini ili atoke nje.
"Nitatoka siwezi kulala huku kwa vile hakuna kitanda, ila nitatoka tu ukinipa haki yangu uliyoninyima muda mrefu," alisema huku akinisogelea.
"Lakini wewe si mke wa mtu?" nilimuuliza kwa sauti ya kunong’ona ili mtu wa nje asisikie.
"Cha mtu uliwa na mtu chuma ndio uliwa na kutu."
"Shemu utaniponza mwenzio," nililalamika kwa kujua ule ni msala mwingine.
“Utajiponza mwenyewe, ungekuwa mwelewa wala huku tusingefika."
"Basi siku nyingine, mimi nimekuba..."
Sauti ya kuitwa na mumewe kidogo inisimamishe mapigo ya moyo, ilionyesha amemkimbia mumewe bila kumuaga hivyo alitoka kumtafuta bila kujuae yupo wapi.
"Tafadhari shemu naomba utoke utaniponza mwenzio," nilizidi kumbembeleza.
“Umeyataka mwenyewe kwa vile hutaki kutoa kwa hiyari yako, sasa tutachukua kwa mikono yetu."
Ajabu pamoja na mumewe kumwita bado hakuonyesha wasiwasi wote zaidi ya kunisogelea nilipokuwa nimesimama kama sanamu. Mke wa rafiki yangu alinitisha kwa kiniambia kama sitampa basi atapiga kelele aonekane yumo bafuni na mimi.
Alianza kunipapasa kwa kuuchezea mwiko ambao ulikuwa umesinyaa kwa hofu kuonyesha haupo tayari kwa mapishi yasiyo rasmi. Baada ya mshike mshike sikuwa na jinsi. Ilibidi niwe mpole na kugawa dozi ambayo niliitoa basi itakuwaje.
Nikiwa nalima kinyonge mwenzangu alitatalika kama bisi huku akienda wavuni zaidi ya mara mbili na kunimwagia sifa rukuki kuliko wanaume wote duniani.

Kwa kweli nilimshukuru Mungu hata alipotoka hakuna aliyekuwa uani hata mumewe alikuwa ametoka.
Lakini wakati natoka bafuni nilikutana na mke wa mpangaji mwenzangu kwa kweli tulikuwa tuliheshimia sana. Nilishangaa siku ile alinitazama sana mpaka nikaona aibu kitu ambacho hakikuwa kawaida yake. Nilijuliza kuna kitu gani au amegundua kuwa nilikuwa na mke wa rafiki yangu. Nilijua kama ameona lazima utakuwa msala.

. Nilijikuta nikifanya mapenzi na mke wa rafiki yangu kwa shinikizo, alinilazimisha nisifunge mlango kila siku usiku wa manane lazima alikuwa chumbani kwangu na kupata dozi. Japokuwa mwamzo nilikuwa naogopa lakini siku zote muonja asali haonji mara moja kilichonisaidia ni hali ya uchovu iliyokuwa ilimpata mumewe katika kazi ya kumwaga zege ilimlaza hoi.

Siku moja nikiwa namsubiri mke wa rafiki yangu mlango ulifunguliwa na mtu kuingia. Sikupenda kufanya mapenzi kwenye taa kuhofia mtu kutupiga chabo na siri kutoka nje. Baada ya kumpapasa na kumkuta akiwa katika mkao wa kula nilianza kugawa dozi.

Lakini nilikundua kitu tofauti kutokana mke wa rafiki yangu kujitanua huku akifurahia mikito. Huyu alikuwa tofauti kila niliposukuma jembe chini alibana miguu kuonyesha anaumia.

"Anda taratibu naumia," ilikuwa sauti tofauti na mke wa rafiki yangu nilishtuka.
Mmh! sauti ile ilinifanya nifanye utafiti wa kupapasa mkono kifuani na kukutana na chuchu ndogo tofauti na za mke wa rafiki yangu. Nilikuwa bado njia panda sauti ile ilisema.
"Anda endelea lakini taratibu, si unajua leo ndio siku ya kwanza"
Mmh! Kumbe alikuwa mke wa mpangaji mwenzangu mwingine yule aliyenishtukia siku ya kwanza nilipofuatwa bafuni na mke wa rafiki yangu.

Japo ulikuwa mshtuko mwingine, lakini barabara ilikuwa ikiruhusu kukimbiza gari utakavyo ilikuwa kama rami mpya japokuwa alikuwa na mtoto wa miaka minne.
Ilionyesha sufulia ilikuwa haijapikiwa muda mrefu kutokana na kukwama kwa mwiko wakati wa kugeuza chakula. Nilijikuta nikifurahia chakula cha usiku ule.

Muda niliotumia ulikuwa mwingi tofauti na mke wa rafiki yangu, kila nilipomaliza alitaka tena nami vile vile nilinogewa na kuendelea kugawa dozi. Sauti ya muazini ilinishtua na kumuhimiza awahi chumbani mwake.

“Jamani wahi sasa.”
“Yaani basi tu nilitaka tuendelee chuma changu kilikuwa na kutu nyingi msasa mmoja hautoshi.”
“Utachoka kwa leo ridhika.”
“Haya mpenzi, ila leo umenifurahisha sana kama vipi nioe kabisa.”
“Taratibu basi, hebu wahi kwako.”

Mke wa mpangaji wangu alitoka haraka na kurudi chumbani kwangu. Nilimsindikiza kwa kumchungulia hadi alipoingia chumbani kwake. Nilitulia kwa muda nikiwa na wasiwasi mwingi huenda limebumburuka.
Hali ilikuwa kimya kuonesha hakukuwa na tatizo lolote. Pamoja na hali ya ukimya, bado sikuamini kama kweli amerudi ndani kwake salama.

Nilikwenda hadi dirishani na kusikiliza kama kuna usalama. Lakini hakukuwa na kitu chochote kibaya hali ilikuwa shwari ilionesha wamelala. Nilirudi kuendelea kulala mpaka asubuhi, kabla ya kulala nilijiuliza kuna siri gani kati ya mke wa rafiki yangu na mke wa mpangaji mwenzangu.

Tukiwa kazini mpangaji mwenzangu alinijulisha kuwa mkewe hali yake si nzuri amepatwa na maumivu usiku wa kuamkia siku ile. Nilitamani kucheka lakini nilimpa pole.

Siri niliijua mwenyewe kwa kujua mchezo tuliocheza na mkewe si wa kitoto. Ilionyesha ugumu wa kazi alizokuwa akifanya jirani yangu uwafanya wachoke sana kufikia hatua mkewe kukosa haki yake ya ndoa.
Ilionyesha mke wa jirani yangu ule mchakamchaka wa usiku kucha hakuwahi kukutana muda mrefu.
Aliugua kwa siku mbili kama mgonjwa wa marelia. Japo alikuwa msichana mbichi sawa na gari zuri lililokosa dereva mwenye kujua kazi yake.

Mtindo wa kubadilishana uliendelea kwa wake wa wapangaji wafanyakazi wenzangu. Ilioyesha kila aliyeonja hakutaka utamu ausikilizie peke yake aliwapa na wenzake.
Ni niligawa dozi ya nguvu kwa wake zao. Kumbe kuna mmoja kati ya wake za wapanaji wenzangu ambaye ni wazi penzi langu ndilo lililomfungua macho na akili.

Kila nilipokutana naye aliniuma meno alipokuwa akitua mzigo, baada ya kuonja hakukubali kuwachia wenzake. Kila siku kuwahi zamu za wenzake kwa kisingizio wenzake walianza wacha na yeye afaidi.
Tabia ile iliwaidhi wenzake kufikia hatua ya kupigana wenyewe kwa wenyewe, ile ilipelekea waume zao kupata ukweli wa ugomvi wao.

Kuanzia hapo walianza kufanya uchunguzi wa siri. Baada ya kupata ukweli wa tabia yangu. Siku ya siku nikaingia kwenye anga zao. Kama kawaida muda ulipofika alikuja mke wa mpangaji mwenzangu, Japokuwa. Nilishangaa siku ile kugoma kutoa mchezo, nilimbembeleza na huku nikimshangaa kumlazimisha kunipa raha.

“Vipi mbona leo sikuelewi.”
“Sipo sawa.”
“Kama haupo sawa umekuja kufanya nini?”
“Nimekuja mara moja.”
“Kama hutoi mchezo tusijuane.”
“La..la..kini,” sikutaka kumsikiliza nilimlaza kitandanim sikumchelesha mwanaume nikaanza mambo yangu.

Niljikuta nikigawa dozi ambayo ilimfanya yule mwanamke aweweseke kwa raha. Kumbe maskini alikuwa ametumwa ili nifumaniwe. Alianza weweseka kwa raha na kusahau kama ametumwa. Mwanaume nilitoa kitu nikaweka kitu.
Siku ile nilimpa matindo mapya ambayo yalimpagawisha.
"Andaaa jamani unaniponza mwenzioo la..la..kini unajua... unajua kunikuna..kamua baba nipo radhi kuachika... A..aa..ndaaa...Hi.hi.hilooo."
Alikuwa akishusha mzigo mzigo wa haja, nami ndio kwanza chuma kilikuwa kimepamba moto sauti nje ilinishtua.

"Ooh anamfanya..vunjeni.. maskini mke wangu, anafanya kweli. "
"We mwache amle leo ndio mwisho wake, kama yeye kidume basi atazaaa na wanaume wote tuliopo nje, kisha tunamkata hicho kinacho mfanya atembee na wake zetu.” Sauti zile zilinishtua na kumfanya mnyama wangu kusinyaa ghafla na kujua mwanaume nimekwisha. Nilimsikia mmoja wa wapangaji wenzangu mwenye mke aliyemaliza zamu yake jana yake akisema:
"Jamani tunamchelewesha au tuchome nyumba?"
"Noo kuna mke wangu tena amemla nimesikia kwa masikio yangu mwenyewe."
Nilijua nimekwisha mtoto wa kiume, kijitia kidume siku ile kilikuwa kimenitokea puani. Kote nilikimbia lakini pale nilijua ndio mwisho wa safari ya uzinzi kama kigoma mwisho wa reli.

Je nini kitaendelea?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom