Marvel Fans Superhero gani zaidi kuliko mwenzie

Marvel Fans Superhero gani zaidi kuliko mwenzie

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
3,632
Reaction score
5,023
Marvel Fans na DC kidogo Superhero gani zaidi kuliko mwenzie katika hizi picha na kwanini ?

1)Thor Vs Superman
2)Thor Vs Captain Marvel
3)Captain Marvel Vs Wonder Woman
4)Captain Marbel Vs Superman
5)Captain Marvel Vs ScarletWitch

Man Of October
 
.
images%20(2).jpeg
1552499750-Thor_Captain_Marvel_Avengers_Endgame.jpeg
Captain-Marvel-vs-Superman-more-powerful-fight-who-win-1093476.jpeg
images%20(1).jpeg

Man Of October
 
Iron man
Captain America
Thor
Black panther
Spider-Man
Hulk
Kwangu mm marvel ni wakali na wabunifu mno DC bado sanaaaa
 
Huyu hana Super power kubwa kama hao wajuu, anauwezo wa Hand to hand fight tu ndio maana hata alipokuwa wanamchangia IRON MAN yeye na WINTER SOLDIER walichezea kichapo kikali.

Man Of October
😂😂😂 unazingua mzee wangu umesahau kilichomkuta Iron Man kwenye civil war mwishoni kule baba ako alikuwa anakufa na ngao ile acha mchezo kabisa na CAPTAIN babu.
 
Ngoja nihitimishe... Kuna wale superpowers natural kama thor (Mungu wa radi), superman, aquaman. kuna wale ambao wanategemea kitu fulan mfano iron man bila lile chuma anaonekana bwege, black panther, antman, spider man na kuna waliotokana na kudungwa masindano kama hulk, captain america, winter soldier.. SASA TURUDI KTK MADA KIUKWELI SUPERMAN NDO SUPERHERO MWENYE NGUVU KULIKO WOTE.. YAAN WOOOTE HAWAMWEZI MAANA ANA KILA KITU NA ANA UWEZO WA KUTOKA NJE YA DUNIA NA KUIZUNGUSHA KURUDISHA SIKU NYUMA AKAZUIA JAMBO FULANI KUTOKEA.. ILA KWA UPANDE WA MARVEL MWENYE NGUVU NI THOR COZ YULE NI DEMIGOD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ndio nawakubali.
 
😂😂😂 unazingua mzee wangu umesahau kilichomkuta Iron Man kwenye civil war mwishoni kule baba ako alikuwa anakufa na ngao ile acha mchezo kabisa na CAPTAIN babu.
Yule mjinga Bucky asingenishika mguu ningemkata kichwa huyo captain wenu,
uliza nilichomfanya hulk.
Thor naye nilimpa kichapo kule msituni huyo captain akaja kusuluhisha ugomvi lasivyo ningemtoa meno na huyo Thor wenu,

Thanos ananijua vizuri na ananiheshimu baada ya kuli-nuke lile lidege lake la chitauri 2012,
Pia Thanos nilimpa kichapo mpaka nikamtoa damu japo nilikiona cha moto.

Captain ni sharobalo sana na nilimuonea huruma tu sikutaka kumuua yeye na bucky wake, ningetaka kumuua ningemtandika kombora la kichwa tu, alafu tunamuita marehemu.

I'm iron Man.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] unazingua mzee wangu umesahau kilichomkuta Iron Man kwenye civil war mwishoni kule baba ako alikuwa anakufa na ngao ile acha mchezo kabisa na CAPTAIN babu.
Ujaelewa ule mpambano Ironman alikuwa anadili na Burky then Cap anamzuia, So Cap alikuwa anatumia uwezo wake wote kumpiga Ironman ila Iron yeye anaji-defence tu ila bado akawa anawachakaza na bila kutumia Ammo zake zote maana Ironman angeamua kutumia Ammo zake ndio ungekuwa mwisho wa Cap na Burky imagine alivyoufumia mkono wa Burky unafikili alishindwa kumfumua Cap kichwani ni kumaliza story za Cap.

Pale mwisho Burky anamshika mguu Ironman ndio Cap akapata opportunity ya kumdhibiti Ironman.

Mpambano ule unafanana na ule wa Superman Vs Batman, Batman alitumia uwezo wake wote kumpiga Superman ila Superman alikuwa Peace maana Superman akiamua kumaliza story anampa PUNCH moja tu Ile michuma aliyovaa yote takataka tu.

Man Of October
 
Yule mjinga Bucky asingenishika mguu ningemkata kichwa huyo captain wenu,
uliza nilichomfanya hulk.
Thor naye nilimpa kichapo kule msituni huyo captain akaja kusuluhisha ugomvi lasivyo ningemtoa meno na huyo Thor wenu,

Thanos ananijua vizuri na ananiheshimu baada ya kuli-nuke lile lidege lake la chitauri 2012,
Pia Thanos nilimpa kichapo mpaka nikamtoa damu japo nilikiona cha moto.

Captain ni sharobalo sana na nilimuonea huruma tu sikutaka kumuua yeye na bucky wake, ningetaka kumuua ningemtandika kombora la kichwa tu, alafu tunamuita marehemu.

I'm iron Man.
We jamaa khaaa😂😂😂 unajisifu utafikiri wewe ndio ulikuwa unayanya yote hayo😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom