Hivi karibuni The story book ya Wasafi Fm imeanza kupoteza mvuto

Swizzy

JF-Expert Member
Nov 4, 2016
773
511
Hii ni kwa wapenzi na wafuatiliaji wa The story book kutoka wasafi fm!

Hawa jamaa walianza vizuri sana na hichi kipindi chao lakini lakini saizi kipindi kinazidi kupoteza mvuto, baada ya kuanza kutuchanganyia sauti kwenye usimuliaji wa stori.

Wengi tumekipenda kipindi ni kwasababu ya sauti ya MTIGA ABDALAH (huyu jamaa kiukweli kabarikiwa sauti katika usimuliaji). Stori zingine tunazijua lakini akisimulia huyu jamaa masikio yako lazima yatataka kuisikiliza tu.

The story book iliyo pita Mtiga Abdalah hakusimulia yeye, kiukweli sauti ilikuwa ni mbaya sana (kama ya mzimu) baada ya kuona watu wame idisi sana na kuiponda sana basi kwenye the story book ya leo 27/01/2020 wamekuja na sauti ya msimuliaji aitwaye JAMALY APRIL lakini bado mvuto hakuna.

Ukitaka Ku prove haya ninayo yasema ingia kwenye account ya Instagram ya MtigaAbdalah_ ujionee watu ambavyo hawajafurahishwa na the story book mbili zilizopita.

Mkiendelea kutuchanganyia sauti basi mjue na sisi ndio mnazidi kutupoteza mdogomdogo ( mimi binafsi huwa nafuatilia sana the story book kupitia YouTube mkiendelea hivi ndo nawaweka pending mdogomdogo).

TUNAOMBA UONGOZI WA WASAFI FM MTIGA ABDALAH AENDELEE KUWA MSIMULIAJI WA THE STORY BOOK NA JAMALY_APRIL AENDELEE KUWA MUANDAAJI WA THE STORY BOOK.

NATEGEMEA KIPINDI KIJACHO CHA SIKU YA JUMATANO TUTAISIKIA SAUTI YA MTIGA ABDALAH, MAANA TAYARI ISHA KAA KWENYE MASIKIO YETU, NI HAYO TU KAZI KWENU WASAFI MEDIA

#Swizzy
 
  • Thanks
Reactions: rr3
Mtiga naye ni mwanadamu huwenda kuna sababu za kumweka nje kidogo ya majukumu. Pengine hayuko sawa kiafya au kiakili sasa tusirushe kipindi kwa sababu hayupo Mtiga?

Hata Zembwela ataingiza sauti ikiwezekana ili mradi watu wapate kusikia kipindi.

Kwa jinsi kipindi kilivyokuwa na fans wengi na sio kipindi cha live...inabidi wajipange kwa kurekodi vipindi vingi ili ata akiumwa bado tutaendelea kuenjoy.

Lakini wote mimi na wewe hatujui ni nini kimempata MTIGA
 
Mtiga siyo Chuma kwamba anaweza kuwa sawa kiafya au kimajukumu muda wote. Hivyo watu waache kulialia pasipokujua jamaa kakutwa na nini.

Na mambo ya kurekodi vipindi vingi unajuaje kama hivyo unavyosikiliza ni mojawapo ya hivyo vingi alivyo rekodi Mtiga.
 
Hivi kumbe kuna watu bado wanasikiliza radio
Radio ni chanzo cha habari kama TV, Magazeti, Blogs na n.k.

Kuna watu kutwa nzima anataka ajue kinachoendelea ulimwengu kuhusiana na michezo, siasa, uchumi burudani na masuala mengine. Sasa huyu mtu mwenye kusikiliza radio kwa interest zake leo hii unakuja kumshangaa.

Muda mwingine tuwe tunapenga kamasi ili akili ibaki sawa, mkiugua mafua mnavuta kamasi ndani ndiyo matokeo yake haya kuona radio ni kitu cha ajabu.

Radio zipo kwenye simu zetu siyo radio za kubeba ili utembee nayo kama hapo zamani.
 
Radio ni chanzo cha habari kama TV, Magazeti, Blogs na n.k.

Kuna watu kutwa nzima anataka ajue kinachoendelea ulimwengu kuhusiana na michezo, siasa, uchumi burudani na masuala mengine. Sasa huyu mtu mwenye kusikiliza radio interest zake leo hii unakuja kumshangaa.

Muda mwingine tuwe tunapenga kamasi ili akili ibaki sawa, mkiugua mafua mnavuta kamasi ndani ndiyo matokeo yake haya kuona radio ni kitu cha ajabu.

Radio zipo kwenye simu zetu siyo radio za kubeba ili utembee nayo kama hapo zamani.
Last time I checked kiungo less active kubakiza taarifa Kwenye ubongo ni ngozi na sikio na pua
Radio zilitumika enzi zile hakuna teknolojia ya television
Sasa mtu unauwezo wa kuona na bado unachagua kusikia?? Astagfirullah
 
Jamal April ndiye mtunzi wa hizo story zote unazozisikia akisimulia Mtiga, Mtiga ni msimuliaji tu.
Huenda kuna tatizo mahala ana muda hajasimulia simulizi mpya.
.
Au watu wametia mzigo mrefu kama wa Kicheko (masawe mtata) kutoka EFM kwenda CMG
 
Acha kujifanya mjuaji sana katika vitu ambavyo hujui. Wazungu wenye miliki na teknolojia wana radio wewe mpuuzi mwenye magoti meusi unajidai na kuona radio ni kitu kimepitwa na wakati.
 
Radio ni chanzo cha habari kama TV, Magazeti, Blogs na n.k.

Kuna watu kutwa nzima anataka ajue kinachoendelea ulimwengu kuhusiana na michezo, siasa, uchumi burudani na masuala mengine. Sasa huyu mtu mwenye kusikiliza radio kwa interest zake leo hii unakuja kumshangaa.

Muda mwingine tuwe tunapenga kamasi ili akili ibaki sawa, mkiugua mafua mnavuta kamasi ndani ndiyo matokeo yake haya kuona radio ni kitu cha ajabu.

Radio zipo kwenye simu zetu siyo radio za kubeba ili utembee nayo kama hapo zamani.
 
Acha kujifanya mjuaji sana katika vitu ambavyo hujui. Wazungu wenye miliki na teknolojia wana radio wewe mpuuzi mwenye magoti meusi unajida na kuona radio ni kitu kimepitwa wakati.
Tatizo unaabudu sana wazungu....tatizo ilo
 
Jamal April ndiye mtunzi wa hizo story zote unazozisikia akisimulia Mtiga, Mtiga ni msimuliaji tu.
Huenda kuna tatizo mahala ana muda hajasimulia simulizi mpya.
.
Au watu wametia mzigo mrefu kama wa Kicheko (masawe mtata) kutoka EFM kwenda CMG
Sijui ni nini kinaendelea huko, kama kuna lolote bora wayamalize jamaa aludi mzigoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom