EMINEM ameachia albamu mpya

George Betram

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
4,018
4,907
Yule msanii bora wa hiphop wa muda wote, yaani ninamaanisha yule msanii bora kabisa wa hiphop kuwahi kutokea tangu kuumbwa kwa mbingu na nchi ameachia albamu mpya inayokwenda kwa jina la Music to Be Murdered By.

Long live Marshall Mathers.

IMG_20200118_004600.jpg
 
Ngoja nisubirie niipakue.. Niskilize mistari konki iliyosimama..Kingereza kilichotulia.
Eti nimsikilize Mpaka poda ya mzungu ili awe mweupe Kali.Jones wakati Emmy yupo!

Btw kati ya E na Busta Rhymes nani anachana haraka zaidi?
 
Kuna msanii Rapa toka Ghana anaitwa Uzzi, jamaa anachana haraka sijawahi kuona..sijui ana mapafu gani! Basi tu Afrika bahati mbaya
 
Ngoja nisubirie niipakue.. Niskilize mistari konki iliyosimama..Kingereza kilichotulia.
Eti nimsikilize Mpaka poda ya mzungu ili awe mweupe Kali.Jones wakati Emmy yupo!

Btw kati ya E na Busta Rhymes nani anachana haraka zaidi?
Kwenye kurap faster Busta na Em hawajapishana sana Chief.
Ila mimi binafsi namkubali zaidi Em.
 
Ngoja nisubirie niipakue.. Niskilize mistari konki iliyosimama..Kingereza kilichotulia.
Eti nimsikilize Mpaka poda ya mzungu ili awe mweupe Kali.Jones wakati Emmy yupo!

Btw kati ya E na Busta Rhymes nani anachana haraka zaidi?

Busta Rhymes kwa twister ni moto wee sikiliza ule wimbo wa Look me now
 
Nilikuwa nasikiliza Godzilla, ila nikabaki kusikia "ugh you're monster" huko kwingine anapita na 450km/h, nikabaki OK mr. rapgod.

baadae itabidi nipitie lyrics.
 
Back
Top Bottom