Diamond & Tanasha wamekopi kuanzia audio mpaka video

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
2,475
2,000
Kwanza naomba ni declare sina ubaya na huu wimbo wao wa #Gere bali najaribu kutoa maoni tuu ili kuboresha tasnia hii ya music.

Inasikitisha sana wimbo wenye jina la kimwambao(Gere) kuwa na vionjo vingi vya nje, tena vilivyokopiwa kutoka nyimbo za mtu mwingine, ingependeza sana kama ingekuwa na vionjo vya asili.

Mbaya zaidi wameenda kucopy na kupaste kila kitu kuanzia audio mpaka video, hivi hawa WCB wameishiwa kiasi hiko? Mbona nyimbo nyingi wanazotoa wanacopy sana?

Audio wamecopy kutoka nyimbo za Wizkid (Gheto Love & Joro).

Wizikid - Gheto Love


Wizkid - Joro


Tanasha & Diamond - GereVideo pia wamecopy ideas nyingi mojawapo ni hii

mcharuko1_-20200220-0001.jpeg
 

mbati nenga

Senior Member
Feb 18, 2017
179
250

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
167,559
2,000
Usilie mkuu haya maelezo huwa mnatoa kila siku mwizi wenu anapoiba tushawazoea hehehehhe halloooo choriii choriiii
Wazo moja ila vitu ni tofaut kidogo huwez ita kukopi na kupest lakn pia umepaniki sana kwa vitu viwili tuu kwenye nyimbo..

Ni mambo ya kawaida ata kwenye biashara tunaona unaweza chukua aidie ya kuuza ukwaju ka bakharesa lakin ukongeza ukubwa wa kopo na sukar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom