Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Filamu zozote mpya/nzuri za muigizaji DENZEL WASHINGTON....Any recommendations?
Filamu zozote mpya/nzuri za muigizaji DENZEL WASHINGTON....Any recommendations?
1.American gangster
2.training day
3.remember the titans
4.more better blues
5.all his films kwa kweli lol
Filamu zozote mpya/nzuri za muigizaji DENZEL WASHINGTON....Any recommendations?
Thnx alot nimeshaziona SAFE HOUSE AND AMERICAN GANGSTER..Baadhi ya movoes za Denzel Washington ambazo nimefanikiwa kuziona ni
-2006Inside Man
-2007American Gangster
-2007The Great Debaters
- 2009The Taking of Pelham 1 2 3
-2010The Book of Eli
-2010 Unstoppable
-2012 Safe House
-2004 Man on Fire
The taking of Pelham 123 na Unstopable zote zinahusiana na treni but ni movies nzuri tu lakini kati ya zote mimi ninayoipenda ni Inside Man maana ile ametumia akili sana.Hiyo ya safe House kaichezea Cape Town - South Africa na picha nyingi alizipiga mwaka 2010 wakati wa kipindi cha Wolrd Cup imetulia though mimi action yake inakwenda kasi sana kwa hiyo nashindwa kucop
Filamu zozote mpya/nzuri za muigizaji DENZEL WASHINGTON....Any recommendations?
Ha ha ha The Boss,huyu jamaa yupo makini acheni masikhara naogopa usije kuwa serious kama yeye usijenitoa baruti...Hio Training day inahusiana na nini sikumbuki?Inawezekana nimeiona
Project Free TV - Watch all your favorite tv shows and movies online freeNaomba mwenye kujua websites za free movie anifahamishe. Thanks